Oppomall
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 3,683
- 3,966
Kama msaada angeutaka pm angekufuata kama kaleta public kwanini kumwitisha kona! Hiyo dalili ya uchoyo wa fursa na utapeliEëeehhh kila mtu unadhani ni tapeliii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama msaada angeutaka pm angekufuata kama kaleta public kwanini kumwitisha kona! Hiyo dalili ya uchoyo wa fursa na utapeliEëeehhh kila mtu unadhani ni tapeliii
Naifanya ndo maana nawaambia yote haya ...mm nmesajiliwa na maliasili so nna usajili wa kuleta kuni popote dar hta ka n harusini ....na hii kaz naifanya baada ya kuacha kaz ya ualimu mapema mwaka huu ....so nna waletea watu na huku me nna vijiwe vyanguWw hii kazi unaifanya au
Wew tu tukiafkiana ... hawa wanapata faida kubwa ila wanalipa kidg ..ndo maana nataka niweke mm nkikosa mtu ..niongeze vijiweNakutafuta nipe hiyo sehemu
Saiz unakula tu hela ualimu umesahau kabisa, saf sana mwalimuNaifanya ndo maana nawaambia yote haya ...mm nmesajiliwa na maliasili so nna usajili wa kuleta kuni popote dar hta ka n harusini ....na hii kaz naifanya baada ya kuacha kaz ya ualimu mapema mwaka huu ....so nna waletea watu na huku me nna vijiwe vyangu
Nawaletea watu na kuuza pia rejarejaItakuwa yy analeta hizo kuni alafu anawauzia
[emoji4][emoji23][emoji23][emoji23] umeniwahiiii, siwezi kukusahau naanzaje kwa mfano.
NitakuchekNipo ila naonekana kwa msimu kama leo nimeshinda jf tangu asubuhi.
Miss u pia.
Haha kawaida tu ...naipenda sana kufundsha .....nkifkisha vijiwe vitano ntarud kufundsha nmemiss chak mda sasaSaiz unakula tu hela ualimu umesahau kabisa, saf sana mwalimu
Eeeeh kuna swali vipi kuhusu, gharama za Mzigo, usafiri, kupakia na kushusha ama ndio hiyo bei uliyo wekaHaha kawaida tu ...naipenda sana kufundsha .....nkifkisha vijiwe vitano ntarud kufundsha nmemiss chak mda sasa
Yah mzgo wa fuso kubwa n milion lak 8..had 9 ..itategemea uko wapEeeeh kuna swali vipi kuhusu, gharama za Mzigo, usafiri, kupakia na kushusha ama ndio hiyo bei uliyo weka
Mmh!! Unaona ndezi kanasa sio?Njoo pm mkuu
Naifanya biashara hii ndo maana naongea yote hayo ...nawaletea wauzaji wa jumla dar na nna vijiwe vyang nauza rejareja .........eneo nmekodisha baada ya kuombwa nikodshe so walinlipa hela yang ya mwez nnayopta faida ktk eneo langkumbe wewe hufanyi biashara hii bali watu uliowakodisha.... nikajua ni wewe.
Ni kila kitu pamoja na kod ya maliasili na kupakia mzgo ...ila nkishakuletea kuushusha n juu yko na s gharama n ka 20 tuHiyo million ni pamoja na gharama ya kununua na vibarua? Kupakia na kupakua
Mkuu kuna gharama gani kupata vibali?Naifanya ndo maana nawaambia yote haya ...mm nmesajiliwa na maliasili so nna usajili wa kuleta kuni popote dar hta ka n harusini ....na hii kaz naifanya baada ya kuacha kaz ya ualimu mapema mwaka huu ....so nna waletea watu na huku me nna vijiwe vyangu
Guest/danguro.Wadau naomba mwenye kunipa idea
leo katika tembe tembea zangu mtaani, nimegundua kuna sehem kuna bar na groceries nyingi sana zimerundikana sehemu noja na kila moja nimeona ina wateja wengi!
sasa swali langu ni je, kuwa na groceries na bar nyingi sehemu moja ni indicator ya fursa gani za kibiashara maeneo hayo tofauti na bar, grocery na chips?
Guest/danguro.Wadau naomba mwenye kunipa idea
leo katika tembe tembea zangu mtaani, nimegundua kuna sehem kuna bar na groceries nyingi sana zimerundikana sehemu noja na kila moja nimeona ina wateja wengi!
sasa swali langu ni je, kuwa na groceries na bar nyingi sehemu moja ni indicator ya fursa gani za kibiashara maeneo hayo tofauti na bar, grocery na chips?
Kiongozi samahani, mimi nataka kujua gharama za ushuru zikoje?Yah mzgo wa fuso kubwa n milion lak 8..had 9 ..itategemea uko wap
Kenta mita za ujazo 15 milion lak mbili ...kun 1700
Kenta mita za ujazo 12, milion ....
Kushusha n juu ya mteja