Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Hello wadau poken kwa majukumu wana jamvi mm ni kijana ninaomba ushauri wenu mzuri wadau ni niashara gani ndogo naweza anzisha kwa mtaji mdgo ea laki 3 au 4 jaman wadau plse ahsanteni
 
Kuna biashara nyingi unaweza kuanzisha kwa mtaji huo. Muhimu ni nidhamu ya fedha, uvumilivu na ubunifu. Angalia kwanza mazingira ya mji/mtaa ulipo, kukuruka kidogo fanya utafiti wa mahitaji ya watu na nini kinakosekana. Jamaa yangu mmoja kwa laki 5 mwaka 2014 alianzisha mzunguko wa kuchukua ndizi mbivu morogoro na kuleta sokoni Buguruni saa hizi yupo mbali sana kimaisha. Fanya ka utafiti kidogo kaka
 
Mkuu naomba nikutafute
 
Wadau Mimi naomba mawazo yenu nipo Tanga njiapanda ya Segera je naweza kufanya biashara gani ktk eneo kama hili?
 
Habar zenu wana jf, nina mtaji wa lak 5 naomben ushaur wenu nifanye biashara gani ambayo inaweza kunitoa kwa haya maisha ya sahv maana nmeumiza kchwa sana kufkiria nifanye nn. msaada jaman natanguliza shukran kwa michango yenu
 
wakuu samahanin san
naomba mtu au watu amabo wanauzoefu na biashara ya vifaa vya simu(phone accessories) kutoka kenya au Zanzibar kwa bei ya jumla vifaa hvyo ni km vile mics,system chargers, screen touches, glass protectors, earphones, phone covers,chargers,USB cables,carbons, speakers, motherboard,memory cards, flash, battery, nk. nahitaji kujua bei ya jumla kwa hayo maeneo mawili(kenya na zanzibar) na wapi ni nafuu zaid na maeneo ambayo ni dominant kwa kuuza hvyo vifaa kwa bei ya jumla msaada plzzz wakuu
cont: +255769939879
whatsapp na voice call online 24/7
 
Safi sana uwongozi wote na wadau wote nimefurahi sana kwa uchambuzi wenu .kumbe inawezekana
 
Utajiri unagonga hodi babu wuuuuuu safi sana jamiii forum na wadau wote kwa ujmla endereeni kutupa vitu adimu kama hivi
 
Waswahili sijui mkoje.... Umeweka blah blah blah nyingi sana hapa.
Unapiga pesa, mara unakua tajiri, lakini hakuna hata sehemu moja ulipo waeleza watu hii activity ni [HASHTAG]#RISK[/HASHTAG] kuna hatari ya watu Kupoteza fedha zao.
Hivyo akiingia akili yake ijue anaingia kwenye shughuli ambayo future yake haeleweki eleweki.
Binafsi nimeweka hela huko, ila nadhani uungwana ni kuwa mkweli na muwazi.
 
Harari wana Jf. Nilikuwa nawaomba ushauri wa kimawazo hata kidogo. Mimi ninamtaji wa laki moja je nifanye biashara gani ambayo inaweza ikaninyenyua kwa wakati huu mgumu na changamoto nyingi za maisha.
 
Upo wapi.. Una penda kufanya biashara gani toka moyoni mwako na isiwe ni stori umesikia biashara flani inalipa basi nawe ume ingia ila kiuhalisia hauipendi na mwisho wa siku wengi wao huwa wana shindwa na kufunga biashara.. Kitu cha kwanza jiulize wewe una penda fanya biashara gani na kwann hiyo na sio nyingine..je umefanya juhudi gani za kutosha za kuji funza kwa watu wanao ifanya hy bzness..ili ujue changamoto zake na faida zake..je hiyo biashara kwa eneo ulilopo baada ya mda flani ina weza leta faida na kuanza kuji endesha yenyewe... Mm naweza kukushauri uza mahindi ya kuchoma ina lipa..kumbe eneo ulilopo n kijijini kila mtu ana shamba lake au nika kwambia uza bible hapo ulipo kumbe jirani ulipo wewe kuna msikiti au uza quran kumbe jirani yako kuna kanisa hapo lazima biashara iwe mbaya... So wewe sema nipo sehemu flani mazingira niliyopo kuna hichi na hichi so kupitia hayo mazingira wewe binafsi unaonelea ukifanya biashara hii itakuwa sawa..je wadau mna nishauri nn so watu wana anzia hapo.. Yangu n hayo kama nime kukwanza samahani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…