Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Join the Most trustworthy broker!!!
Templerfx!!!!
- Easy to Deposit your investment capital by Mobile Money Transfer (M-Pesa, Airtel Money) Just less than an hour, your account will be funded.
- Easy to withdraw you money(M-Pesa, Airtel Money) less than an hour your money will be in your phone ready to get from WAKALA!!
-Quick and Easy customer services.

Very Easy to join!!!
Click on the link below open account
TemplerFX | Promo

Kwa wale Wa forex templerfx ni broker mzuri sana kwa mazingira yetu ya bongo , ni rahisi kujisajili lakini pia njia za kutuma na kupokea Pesa yako ni rahisi mno!

Minimum deposit ni $1=Tsh2,240 tu
 
Ivi kwa mkoa wa dar Biashara ya pampers (Baby diapers) inalipa? Kama inalipa nataka nianzishe hii biashara Naomba Maoni yenu pls
 
Mi nafikiria kuanza na flash kwa hapa chuoni, naifuate dar kkoo kwa being ya jumla ili nikij niongeze kidogo mzunguko uwepo
 
Dah aisee najilaumu sana nimepoteza muda wangu mwingi ktk majukwaa yasiyoyokuwa na tija kumbe huku kuna great thinkers kweli,Really nimeenjoy post nyingi zilizopo humu na pongezi kwa wote mliotoa michango yenu ya mawazo,mapambano Tafadhali yaendelee na busara iwe kauli mbiu ya jukwaa hili ili watu tuweze kupeana mawazo chanya.
 
N simple tafuta eneo zur ..sabb kuni ndo habar ya mjin sasa jpo weng hawajaistukia .....then tafta MTU mwenye usajili ka mm ataenda kukuletea mzgo sabb ww huna vibal ....kwa ufup fuso kubwa kwa dar lenye kuni 3000 huw n milion lak 9 .....kuni moja dar n buku so utauza milion 3 faida milion lak 1 ndan labda ya wik mbili au tatu

Kenta kuni 1600 kuletewa milion ukiuza faida lak sita ndan hta ya wiki mbili au chini ya hapo sabb n ndg sana hizo kwa sehem yeny biashara ka ya kwetu

So jarbun .......
kuni moja kwa bei ya jumla unauzaje wewe?
je unaweza kufanya kazi na mjasiliamali mwenye mtaji wa 400k?
ukiwa tayari nipm
 
Mimi ni kijana , nina elimu ya kidato cha 4, nina mtaji wa laki 3.napenda kuushi dodoma, naomba msaada wa fursa na wazo la biashara kwa hapo dodoma kulingana na kamtaji kangu.
 
Mkuu nakushauri badiri mwelekeo wa location yako ya biashara nenda Kigoma unaweza anzisha hata biashara ya mazao au ukaanzisha biashara la nguo kutoka Dsm kwenda kigoma pia kunafurusa nyingi sana naweza nikakushauri. Yangu ni hayo tu
 
Dah aisee najilaumu sana nimepoteza muda wangu mwingi ktk majukwaa yasiyoyokuwa na tija kumbe huku kuna great thinkers kweli,Really nimeenjoy post nyingi zilizopo humu na pongezi kwa wote mliotoa michango yenu ya mawazo,mapambano Tafadhali yaendelee na busara iwe kauli mbiu ya jukwaa hili ili watu tuweze kupeana mawazo chanya.
Haha umenifurahisha mkuu, ulikuwa majukwaa gani humu kuna madini yaajabu
 
MIMI NAONA KWA MTAJI HUO AMUONE ONTARIO KISHA AJUE INAKUWAJE NDANI YA WEEK TU ACHA ULAMBA
 
Back
Top Bottom