Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Mimi ni kijana , nina elimu ya kidato cha 4, nina mtaji wa laki 3.napenda kuushi dodoma, naomba msaada wa fursa na wazo la biashara kwa hapo dodoma kulingana na kamtaji kangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikuwa na idea nzuri ya biashara kwa Dodoma mtaji haufiki ata laki moja lakini sasa Mimi mwenyewe nataka nifanye pia utanipiku[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi nina mtaji wa Laki name(800,000/=Tsh) naomba nipewe msaada nifanye biashara gani simple sana ambayo haitakuw inachukuwa muda wangu kuanzia asbh mpaka saa kumi jion hivi baada ya hapo ndio nakuwa free. Tafadhali npo serias sana kwny hili maisha ni magumu hya bila kutuliza akili unaweza kuolewa aisee. Msaada kwa hilo.!!
 
kwa mtaji huo unahitaji umakini ni vizuri ukibana matumizi fanya biashara ambayo inaleta mzunguko wa haraka ata kama faida kidogo ukitaka faida kubwa biashara itakuwa haitoki haraka hivyo utakula mtaji pandisha mtaji hadi 2M afu then unawekeza kwenye kitu kingine kuongeza mapato
 
Fungua shoe shine,waweke vijana kama wa5 sehemu tofauti tofauti mjini au kwenye car wash kubwa kubwa au hata kwenye vituo mbalimbali ambapo movement ya watu IPO,..wakikuletea hesabu kwa kila siku itapendeza zaidi.
Idea nzr lkn kwa vijana wap hawa wanaotaka kukaa kwny viti waznguke na simu kubwaaaa, yan nmependa xna idea yko lkn tatzo lipo kwa hao watu wakuwaweka site ndio ishu.# Genuine idea
 
kwa mtaji huo unahitaji umakini ni vizuri ukibana matumizi fanya biashara ambayo inaleta mzunguko wa haraka ata kama faida kidogo ukitaka faida kubwa biashara itakuwa haitoki haraka hivyo utakula mtaji pandisha mtaji hadi 2M afu then unawekeza kwenye kitu kingine kuongeza mapato
Ndio unisaidie biashara ipi ndg? Na mm pia nataka biashara ndgo tu yeny kuingiza haraka haraka kwa wingi hta kama ni kidgo bt income inasoma ndio natafuta hyo business.
 
Back
Top Bottom