October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikuwa na idea nzuri ya biashara kwa Dodoma mtaji haufiki ata laki moja lakini sasa Mimi mwenyewe nataka nifanye pia utanipiku[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi ni kijana , nina elimu ya kidato cha 4, nina mtaji wa laki 3.napenda kuushi dodoma, naomba msaada wa fursa na wazo la biashara kwa hapo dodoma kulingana na kamtaji kangu.