Mr Suprize
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 869
- 961
Wewe unapenda kujishughulisha na nn/kitu gani?nini hobby yako katika biashara au ujasiriamali!?Kwa mtaji wa sh 200000 naweza anzisha biashara ipi na ikanipa faida hapo baadaye? Location Dodoma
Em mumu njoo pm kwanza tuzungumze kidogo.Wewe unapenda kujishughulisha na nn/kitu gani?nini hobby yako katika biashara au ujasiriamali!?
kuni moja kwa bei ya jumla unauzaje wewe?N simple tafuta eneo zur ..sabb kuni ndo habar ya mjin sasa jpo weng hawajaistukia .....then tafta MTU mwenye usajili ka mm ataenda kukuletea mzgo sabb ww huna vibal ....kwa ufup fuso kubwa kwa dar lenye kuni 3000 huw n milion lak 9 .....kuni moja dar n buku so utauza milion 3 faida milion lak 1 ndan labda ya wik mbili au tatu
Kenta kuni 1600 kuletewa milion ukiuza faida lak sita ndan hta ya wiki mbili au chini ya hapo sabb n ndg sana hizo kwa sehem yeny biashara ka ya kwetu
So jarbun .......
Okkuni moja kwa bei ya jumla unauzaje wewe?
je unaweza kufanya kazi na mjasiliamali mwenye mtaji wa 400k?
ukiwa tayari nipm
Haha umenifurahisha mkuu, ulikuwa majukwaa gani humu kuna madini yaajabuDah aisee najilaumu sana nimepoteza muda wangu mwingi ktk majukwaa yasiyoyokuwa na tija kumbe huku kuna great thinkers kweli,Really nimeenjoy post nyingi zilizopo humu na pongezi kwa wote mliotoa michango yenu ya mawazo,mapambano Tafadhali yaendelee na busara iwe kauli mbiu ya jukwaa hili ili watu tuweze kupeana mawazo chanya.
Ah kuna majukwaa ya kishenzi kutwa kucha pumba tupu,na unakuta yanachangiwa kinoma dah hii Tanzania ya Viwonder haitatuacha salama.Haha umenifurahisha mkuu, ulikuwa majukwaa gani humu kuna madini yaajabu
fungua kijiwe cha kuuza pwezaKwa mtaji wa sh 200000 naweza anzisha biashara ipi na ikanipa faida hapo baadaye? Location Dodoma