badooo
T bills ni kitu gani mkuu? dadavua kidogo na mimi nipate darsaOngezea kidogo hela ya gharama za kufungulia akaunti mbili.Nenda NMB/CRDB au benki nyingine za biashara ambao ni mawakala wa benki kuu wakueleze jinsi ya kununua T-Bills.Unafungua akaunti zako mbili (moja ya kawaida na nyingine ya T-Bills) huko (kwenye hizo benki za biashara) kisha unaanza ku bid. Ukishinda unaanza kula mana, asali na maziwa ya nchi hii yenye neema upeo.Kila la heri.
Treasury BillsT bills ni kitu gani mkuu, kwa hapo nna ushamba ntoe tongo kidogo!
Treasury Bills
T-Bills ni aina mojawapo ya hati fungani za serikali. Ni zile za muda mfupi - miezi 12 - . Serikali inapokuwa na sababu maalumu kama vile kudhibiti mfumuko wa bei n.k huziuza sokoni (DSE). Kuna zile za siku 35, siku 91, siku 182 au siku 364T bills ni kitu gani mkuu, kwa hapo nna ushamba ntoe tongo kidogo!
Ufafanuzi zaidi MkuuOngezea kidogo hela ya gharama za kufungulia akaunti mbili.Nenda NMB/CRDB au benki nyingine za biashara ambao ni mawakala wa benki kuu wakueleze jinsi ya kununua T-Bills.Unafungua akaunti zako mbili (moja ya kawaida na nyingine ya T-Bills) huko (kwenye hizo benki za biashara) kisha unaanza ku bid. Ukishinda unaanza kula mana, asali na maziwa ya nchi hii yenye neema upeo.Kila la heri.
Mkuu hiyo una risk your money kwasababu Mpira maranyingine hautabiriki ujerumani walipigwa na corea world cup umesahau!Njoo kwenye betting unatafuta odd 1.10 per day...
500,000 X 1.10 = 550,000
Kila Siku unatengeneza profit ya 50k, ndani ya mwezi una profit ya 1.5m
Sent using Jamii Forums mobile app
Kubid unafanyaje, tupe elimu mkuu, tueleweOngezea kidogo hela ya gharama za kufungulia akaunti mbili.Nenda NMB/CRDB au benki nyingine za biashara ambao ni mawakala wa benki kuu wakueleze jinsi ya kununua T-Bills.Unafungua akaunti zako mbili (moja ya kawaida na nyingine ya T-Bills) huko (kwenye hizo benki za biashara) kisha unaanza ku bid. Ukishinda unaanza kula mana, asali na maziwa ya nchi hii yenye neema upeo.Kila la heri.
Mkuu nimeshautoa hapo.Hebu angalia post kadhaa, nenda nyuma na mbele utauona.
Fanya mojawapo ya:
Sawa Mkuu.Siyo mbaya. Nimefurahi kukusikia kuwa sielewi vizuri. Lakini ninaelewa. Sasa ninaomba kueleweshwa vizuri.Mkuu wa T Bills inaonekana hata wewe hujui vizuri ndio maana maelezo yako hayajitoshelezi.
Tema knowledge
I'm disappointed.Siku hizi hili jukwaa lina utoto mwingi sana.
Kama hamna ushauri wa kumpa kuhusu biashara ni vizuri mngekaa kimya kumbukeni huku sio jukwaa la chit chat au jokes ni jukwaa la biashara.