Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Ongezea kidogo hela ya gharama za kufungulia akaunti mbili.Nenda NMB/CRDB au benki nyingine za biashara ambao ni mawakala wa benki kuu wakueleze jinsi ya kununua T-Bills.Unafungua akaunti zako mbili (moja ya kawaida na nyingine ya T-Bills) huko (kwenye hizo benki za biashara) kisha unaanza ku bid. Ukishinda unaanza kula mana, asali na maziwa ya nchi hii yenye neema upeo.Kila la heri.
T bills ni kitu gani mkuu? dadavua kidogo na mimi nipate darsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
T bills ni kitu gani mkuu, kwa hapo nna ushamba ntoe tongo kidogo!
T-Bills ni aina mojawapo ya hati fungani za serikali. Ni zile za muda mfupi - miezi 12 - . Serikali inapokuwa na sababu maalumu kama vile kudhibiti mfumuko wa bei n.k huziuza sokoni (DSE). Kuna zile za siku 35, siku 91, siku 182 au siku 364
 
Ongezea kidogo hela ya gharama za kufungulia akaunti mbili.Nenda NMB/CRDB au benki nyingine za biashara ambao ni mawakala wa benki kuu wakueleze jinsi ya kununua T-Bills.Unafungua akaunti zako mbili (moja ya kawaida na nyingine ya T-Bills) huko (kwenye hizo benki za biashara) kisha unaanza ku bid. Ukishinda unaanza kula mana, asali na maziwa ya nchi hii yenye neema upeo.Kila la heri.
Ufafanuzi zaidi Mkuu

Kubid unafanyaje, tupe elimu mkuu, tuelewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wa T Bills inaonekana hata wewe hujui vizuri ndio maana maelezo yako hayajitoshelezi.

Tema knowledge
 
Kubid unafanyaje, tupe elimu mkuu, tuelewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya mojawapo ya:
1. Ingia tovuti ya benki kuu au
2. Kama utaelewa nitajieleza, ni hivi:
1.Fungua akaunti mbili, moja ya kawaida/akiba na nyingine ya T-Bills (baada ya kupata maelezo ya mawakala wa BoT ambao ni kama NMB,CRDB n.k. au nenda DSE) 3. Weka hela yako kwenye akaunti ya kawaida/akiba isipungue 500,000/-, subiri tangazo la mnada 4. Serikali (kupitia BoT) ikishatangaza kuuza bills zake (huwa ni online), wewe bid (yaani tangaza kuwa utanunua kwa kiasi fulani mf. 95/-) maana yake bill ile kwa kila 100/- utainunua kwa 95/-. Subiri kwa siku kadhaa ulizo 'bidia', say siku 35. Ukishinda huo mnada utajulishwa immediately na mzigo unaingia kwenye akaunti yako ya kawaida. Utakuwa umepata faida ya 5/-.Ukishindwa mnada huo unasubiri mwingine, unaendelea. Fedha yako 500,000/- ipo SALAMA. Ndivyo wanavyofanya wale jamaa wanaojua sana hesabu na biashara, wale wenye biashara zinazoendelea hata kama mmiliki anakufa,zinaendelea kwa sababu wanafanya kitu kinaitwa succession plan.
 
Mkuu wa T Bills inaonekana hata wewe hujui vizuri ndio maana maelezo yako hayajitoshelezi.

Tema knowledge
Sawa Mkuu.Siyo mbaya. Nimefurahi kukusikia kuwa sielewi vizuri. Lakini ninaelewa. Sasa ninaomba kueleweshwa vizuri.
 
Kama hamna ushauri wa kumpa kuhusu biashara ni vizuri mngekaa kimya kumbukeni huku sio jukwaa la chit chat au jokes ni jukwaa la biashara.

Siuseme tu kuwa uanazitaka wewe hzo hela.
 
Back
Top Bottom