Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
mkuu bei ya lita moja mafuta huko middle east ni chini kuliko lita moja ya maji ya kunywa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wakiume chukua mashine ya, betting weka laki 2 ilobaki tafuta kiti weka sehem iliyochangamka fanya biashara,, kwa weak hukosi laki moja kama faida!!
1tsh = 18.57irrThamani ya pesa ya Irani ikoje ukilinganisha na pesa yetu?
Haziuzwi,zile unakodishiwa ufanyie biashara labda unaanda hela ya mauzo huwa wanaanzia laki mojaHivi hiyo mashine ya betting inauzwaje
Jirani mm sina interest na mpila but asanteka beti
jirani tuonane basi wakati tunafikiria lakufanya tutafute sehemu yenye upepo tuchome hata ka nyama bwanaJirani mm sina interest na mpila but asante