Nimekusoma umetisha mkuu, nimeanza vutiwa na jambo moja la kigeni katika taifa letu.... Kuagiza vitu kwa bei nafuu mtandaoni na kuuza.
Bustani ya mboga mboga,
Anza na mazao yasiyohitaji madawa mfno matembele, mchicha, maboga etc, (achana na spinach)
Kukodi eneo 20000 la kuweza kuwa na matuta 10+
Mbegu 40000
Mbolea 25000 ya kuku kiroba wanafanya 2000-2500
Iliyobaki vitendea kazi jembe + ndoo mbili za maji.
Mapato:-
Tuta moja la mita 2 kwa 4 huuzwa kwa 15k na kuendelea kutegemeana na kujaza kwake.
Uvunaji hufanyika kila baada ya week 2, mfano matembele ukishayapanda utaendelea kuweka mbolea tu kila baada ya kuvunwa, hadi miezi 6.
Mwanzo mgumu kila la heri.
(Nina experience na hiyo shughuli, nilishafanyaga huko nyuma)
ndio mkuu ni kila week mbili unavuna.
Matembele ukishapanda ndio imetoka utaendelea kuvuna mpaka miezi 6. Muhimu kila yakivunwa ni kuweka mbolea tu na kung'olea magugu.
Mchicha ukivunwa unakwatua tuta then unapanda tena. Kilo moja ya mbegu nafikiri unaweza kupanda tuta 3-4
Shamba unahudumia asubuhi na jioni.
Me nilikuwa nasoma so, shamba langu nilikuwa nahudumia jioni tu. Na mambo yalikuwa yanaenda vyema.
Nilianza na mchicha mkuu 2015!lakini ss hv hii biashara mhhh!
Nilikuwa nauzia shambani, ile jioni wakati namwagilia wamama wanakuja mnaelewana. So yeye anachuma jioni au asubuhi.
Hakuna biashara isiyo na changamoto chief ni namna ya kufikiria kutatua hizo changamoto ndo fursa na faida zaidi ilipo
CHANGAMOTO: Fedha Shilingi 100,000 ya kitanzania unaweza anzisha nini kuzalisha,naomba mtazamo wako...
View attachment 1308140
Dah aisee Respect MrBustani ya mboga mboga,
Anza na mazao yasiyohitaji madawa mfno matembele, mchicha, maboga etc, (achana na spinach)
Kukodi eneo 20000 la kuweza kuwa na matuta 10+
Mbegu 40000
Mbolea 25000 ya kuku kiroba wanafanya 2000-2500
Iliyobaki vitendea kazi jembe + ndoo mbili za maji.
Mapato:-
Tuta moja la mita 2 kwa 4 huuzwa kwa 15k na kuendelea kutegemeana na kujaza kwake.
Uvunaji hufanyika kila baada ya week 2, mfano matembele ukishayapanda utaendelea kuweka mbolea tu kila baada ya kuvunwa, hadi miezi 6.
Mwanzo mgumu kila la heri.
(Nina experience na hiyo shughuli, nilishafanyaga huko nyuma)
Kama una chochote cha kukupatia kula. Million Moja weka Fixed account katika bank kubwa mfano mimi ningeshauri NMB (Babalao kwa sasa, inapigwa push na pia ina support maeneo mengi kitaifa)
Fixed account pesa yako haina makato na inakua salama ,unaweza kuanzia miez 6, mwaka au miaka miwili mpaka mitano...(source NMB).
Utabak na Milliona Moja ya soko linalokua ni la utalii tafuta leseni ya Travel services/Air ticketing (ila usichukue ya TALA iko juu USD 2000, Hii waweza chukua badae biashara yako ikikua ukasajili na utalii) kama utafanya ivo nione nipo soko ilo miaka mitatu sasa.
Fafanua mkuu mchango wako tafadhali.Viatu vya kimasai 4000?????
Jamani kuweni wakweli pale hakuna hiyo bei ... Tuweni realistic
Sent using Jamii Forums mobile app
Viatu vya kimasai 4000?????