Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?


Fanya hivyo mkuu mara moja
 
Habari mkuu, unaweza tupa mrejesho mpaka sasa.
 
Ilikuwa ngumu mwaka 2018 nilikuwa na laki 300,000/nilipewa banda la airtel kwa elfu 30,000/nikapewa na laini ya airtelmoney kwa elfu 50,000/nikanunua laini ya tigopesa laki 100,00/=

Gharama zingine nilitumia elfu 30,000/
Nilianza kutoa uduma kwa laki 100,000/ mtaji uliongezeka mpaka laki 5 na zaidi.
Siri ya mafanikio ni ubahiri na kuzingatia matumizi yawe madogo ya kila mwezi yasizidi kinachoingizwa kwa mwezi.
 
nilianza na 20k

na zote nikanunulia kanda ya Hamza Kalala pc20 - 'Tutabanana hapa hapa'

the rest is history
 
NAOMBENI MAONI AU USHAURI WENU



Wakuu mi nakaa Dar es salaam(Kaliakoo),Nilikuwa nataka kufunga biashara ya vitenge mkoa wa mbeya(Tukuyu) nikiwa na mtaji wa Tshs million moja, nitajumua wapi bizaa bora na kwa bei nafuu na zinazo weza fika kiulahisi mahali husika.
 
Dar sehemu gani
 
Nina mtaji wa laki 7, hivi ni Biashara gani naweza kufanya ambayo itaniingizia faida kubwa kwa muda mfupi [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Huwezi weka kiwango cha mtaji kwenye range kwamba 100k-900k halafu utegemee jibu sahihi.Kila pesa ina makadirio yake namaanisha 100k inamajibu yake ambayo hayafanani na majibu ya 500k na 500k pia haufanani na 900k..Hapa tunazungumzia hesabu na biashara na hesabu ikishakuwa kwenye range basi majibu yake ni cheni ndefu sana.Kufupisha hili uliza ukitumia kiwango kamili cha fedha mtaji kisha icho kiwango ndio watatiririka wadau ktk ule uhakisia.
 
nilianza na 20k

na zote nikanunulia kanda ya Hamza Kalala pc20 - 'Tutabanana hapa hapa'

the rest is history
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana bwashee
 
Laki na sitini hiyo?mabelo hayo yapo wapi
 
Portable toilets /mobile toilets zinakodishwa kwa ajili ya shughuli zote za outdoor, iwe harusi au msiba au sherehe yoyote. Hata kwenye shughuli za ujezi and uchimbaji madina vinaweza kutumika.

Very clean, easy to use and convenient

Bei zetu ni kuanzia 150, 000 kwa siku.

Wasiliana nasi kwa simu namba 0768 333 953

Barua pepe ni hassandkikstoilets@gmail.com

Karibuni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…