Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Habari zenu wakubwa wa humu mimi ni kijana wa miaka 20 nimejaribu kuja town (Mwanza) kupambana ila maisha ya hapa kidogo naona kama hayana mwelekeo nimeamua nirudi Kijijini Karagwe murshaka na kwa sasa nina laki mbili tuu naomba kwa anaefahamu hayo mazingira/ au kwa hata asiefahamu anipe wazo linaloweza niimarisha kidogo.
Wazo langu nililo liwaza ni niende nitengeneze banda la kuku ninunue kuku wa 150k baada ya kama miezi 6 nianze kuwa naleta kuku mjini na kuuza.
Mwenye mbinu /uchambuzi na msaada zaidi naomba mnipe mawazo.
Nitashukuru kwa michango ya mawazo yenu.
Fanya hivyo mkuu mara moja