Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Naona kama hii ni wazo zuri sana.
Ninachopendea mkaa una bahati ya kutoibiwa yaani magunia ya mkaa hata ukiyalaza nje wezi hawana mpango nayo.
Ukishindwa hii ya mkaa fungua banda la chipsi.

Hizi ndio aina ya biashara ambazo hazihitaji matangazo uswahilini,mtu hata apigike vipi lazima aje kununua mkaa apike.

Na chipsi pia kwa wanafunzi na masistaduu lazima waje.
Fanya biashara ya mkaa, tengeneza kibanda kisichozidi gharama 50,000/= Fata mkaa porini mwenyewe uje uuze mjini.

Usisahau nidhamu ya fedha.
 
Kaka mwenyewe apa na laki mbili mfuko wa shati sijui nifanyie nini?
 
Mtu mwenye hela halafu hajui aifanyie nini,Huyo mtu hata ukimshauri hatofanya unachomshauri na kama akifanya,hatofanikisha lazima kifeli na atarudi kwako akwambie ulimuingiza "chakike"

mtu timamu mwenye nia ya biashara (ujasiriamali),Kabla hajashika hata senti 5 tayari ana plan za biashara hata 20 kichwani mwake yani kabla hajaishika hela tyr hela ashajua ataifanyia nn endapo akiipata,Ila hawa ndugu zangu wanao uliza "wafanyeje" kwenye

hela walizonazo asee hawa ushauri pekee unaowafaa nikuwashauri "hiyo hela wanunue nyama choma wale" au watafute mtu anaejua cha kuifanyia wampe aitumie,Hawa ni type ya kina Laizer au wale wazee wa kubet "hela imewafikia ki suprise"
 
Du kwa mtaji huo?ningeweza kusema ufungue shoe shine lakini hauta tosha, basi fanya hivi nenda JF saccos iweke hiyo hela ugenerate three time upate angalao laki 6 labda utaweza fanya kitu.
jf saccos inafanyaje kazi mkuu
 
Kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…