Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Mipango bila pesa ni matumiz mabaya ya akili.
 
Tafuta kamera ya wastani na vipuli vyake,

Upige pcha na urekod video za harus na n.k

Ukikua mtaji nitafute nikupe consistency[emoji854]
 
Habarini za mihangaiko.

Ninahitaji kujua cha kufanya kwa ajili ya maendeleo kwa pesa tajwa apo juu.

Tafadhali nisaidieni.
Hongera kwa hatua nzuri naona mwanzo mzuri kutoka kwako.
Nashauri ACHA papara kwanza.
Iweke pesa kwenye bank account au mpesa/tigopesa arafu tulia kama haipo hata kwa mwezi mmoja.

Muhimu jipe utulivu kwanza .

Sina wazo la kukupa kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…