Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Unatafuta wakukejeli tu
Kwa kiasi hicho unahitaji kuangalia mazingira uliyopo kuna nini wenzako wanafanya ndicho
Biashara ya kuku nyepesi sana na hela yake ya uhakika sana ila omba sana wasipigwe ugonjwa, mama yangu anafuga kipindi anaanza kuna ugonjwa uliwapiga kuku tulikula mpaka tukawa tunagawa
 
 
Habari watanzania Mimi nikijana mdogo nipo Kibaha Mlandizi nataka kufanya biashara nahitaji mawazo ya biashara gani nifanya inayo toka nainawateja kwa hapa Mlandizi naiwe yenye kutuanzia mtaji mdogo Kama laki moja ushuriwenu pls nataka nijikwamue kimaisha
 
Angalia changamoto zilizopo kwenye eneo lako zaidi pitia kwenye hili jukwaa zipo threads mbalimbali zenye mawazo mazuri ya biashara kwa mtaji ulioutaja.

Kila la kheri.
 
Anzisha biashara ya kufua au kufua na kupasi nguo.
Nunua sabuni ya MAQ BOX KUBWA LA TSH 5000/
BESENI MOJA SH 5000/
NDOO NDOGO 2 . 3000/
GLOVES NGUMU 7000/
CHUKUA BOX ANDIKA HATA KWA MAKER PEN
ANZA KAZI MKUU UFURAHIE MAISHA
 
Wazo zuri Sana, hizo gloves zinaitwaje na zinapatikana maduka gani?
Anzisha biashara ya kufua au kufua na kupasi nguo.
Nunua sabuni ya MAQ BOX KUBWA LA TSH 5000/
BESENI MOJA SH 5000/
NDOO NDOGO 2 . 3000/
GLOVES NGUMU 7000/
CHUKUA BOX ANDIKA HATA KWA MAKER PEN
ANZA KAZI MKUU UFURAHIE MAISHA
 
vifuko 25 vya kg 20unahitaji nusu kilo ya korosho sio robo mkuu, wazo zuri linawezekana kutekelezwa hata km mtu yupo busy
 
Wapendwa ninaomba kupata wazo zuri la biashara kwa mtaji wa laki tano

Huku manyara wilaya ya Mbulu( Haydom) ningependa kuanzisha biashara huku vijijini ila bado sijapata wazo zuri la biashara

*Nimejaribu kufikiri ila nikaona kidole kimoja hakivunji chawa karibuni kwa maoni yenu
 
Chipsi zinalika huko.!???

Au uza kitimoto..

Thank me later
 
Naona watu wanakula chips sema vbanda vingi sana huku alafu wanakula sana nyama choma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…