Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ForexHabari za mida hii wana JF,
Naomba kuuliza, kwa mtaji wa Tsh 200, 000 naweza kuanzisha biashara gani hapa Dar itakayoniwezesha kutengeneza faida ya Tsh 20, 000 kwa siku!!
Msaada wenu tafadhari!!
Ndo nini mkuu!!?Forex
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Seat ya mbele
Una hoja lakini. Wapo watu wanauza icream za bakhresa pale wanamtaji wa buku 50 hadi 100k na wanapata faida hadi ya 25000 kwa day.Najua watanibeza sanaa ....lakini hio pesa yako haiwezi kukupa faida ya 20,000 kwa siku......
Yaani mtaji wa 200,000. Upate faida ya 20,000 Kwa siku unaota wewe sio bure kama hivyo watu wasingekuwa masikini ...
Mtu wa boda boda karisk 2,500,000 na anapata faida 10k Kwa siku ...
Mtu wa bajaji kanunua 7million Ndio anapata faida ya 20k kwa siku....
Harafu unakuja na mtaji wako wa 200k et upate faida ya 20k kwa siku[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Maisha sio rahisi kiasi hicho ....
Acha kudanganya watu ...faida ya 25,000......Una hoja lakini. Wapo watu wanauza icream za bakhresa pale wanamtaji wa buku 50 hadi 100k na wanapata faida hadi ya 25000 kwa day.
Inachotakiwa ni mzunguko wa biashara kwa siku. Waulize watu wa kkoo wale machinga mtaa wa kongo
Hizo za boda boda na Bajaji si faida ni mapato.hapo hujatoa matumizi,labda faida ni 7000 hivNajua watanibeza sanaa ....lakini hio pesa yako haiwezi kukupa faida ya 20,000 kwa siku......
Yaani mtaji wa 200,000. Upate faida ya 20,000 Kwa siku unaota wewe sio bure kama hivyo watu wasingekuwa masikini ...
Mtu wa boda boda karisk 2,500,000 na anapata faida 10k Kwa siku ...
Mtu wa bajaji kanunua 7million Ndio anapata faida ya 20k kwa siku....
Harafu unakuja na mtaji wako wa 200k et upate faida ya 20k kwa siku[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Maisha sio rahisi kiasi hicho ....
CondomNdo nini mkuu!!?
Chipsi Dume...!Habari za mida hii wana JF,
Naomba kuuliza, kwa mtaji wa Tsh 200, 000 naweza kuanzisha biashara gani hapa Dar itakayoniwezesha kutengeneza faida ya Tsh 20, 000 kwa siku!!
Msaada wenu tafadhari!!
Faida kuipata ni mpaka pesa(mtaji) uliyonunulia bodaboda au bajaji irudi,huwezi kuhesabu marejesho ya siku mbili tatu au mwezi toka ununue boda/bajaji km faida.Hizo za boda boda na Bajaji si faida ni mapato.hapo hujatoa matumizi,labda faida ni 7000 hiv
Dau limeongezeka!!Mbona ulileta mada ya mtaji wa 150000?