Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Najua watanibeza sanaa ....lakini hio pesa yako haiwezi kukupa faida ya 20,000 kwa siku......

Yaani mtaji wa 200,000. Upate faida ya 20,000 Kwa siku unaota wewe sio bure kama hivyo watu wasingekuwa masikini ...

Mtu wa boda boda karisk 2,500,000 na anapata faida 10k Kwa siku ...

Mtu wa bajaji kanunua 7million Ndio anapata faida ya 20k kwa siku....

Harafu unakuja na mtaji wako wa 200k et upate faida ya 20k kwa siku[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Maisha sio rahisi kiasi hicho ....
 
Una hoja lakini. Wapo watu wanauza icream za bakhresa pale wanamtaji wa buku 50 hadi 100k na wanapata faida hadi ya 25000 kwa day.

Inachotakiwa ni mzunguko wa biashara kwa siku. Waulize watu wa kkoo wale machinga mtaa wa kongo
 
Acha kudanganya watu ...faida ya 25,000......

Mnaandika tu huku kufurahisha umma si ndio
 
Najua watanibeza sanaa ....lakini hio pesa yako haiwezi kukupa faida ya 20,000 kwa siku......

Yaani mtaji wa 200,000. Upate faida ya 20,000 Kwa siku unaota wewe sio bure kama hivyo watu wasingekuwa masikini ...

Mtu wa boda boda karisk 2,500,000 na anapata faida 10k Kwa siku ...

Mtu wa bajaji kanunua 7million Ndio anapata faida ya 20k kwa siku....

Harafu unakuja na mtaji wako wa 200k et upate faida ya 20k kwa siku[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Maisha sio rahisi kiasi hicho ....
Hizo za boda boda na Bajaji si faida ni mapato.hapo hujatoa matumizi,labda faida ni 7000 hiv
 
Back
Top Bottom