Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

sawa ndugu umefa nyavizuri kuomba ushauri .Je hapo kijijini kwenu unaona sasana watu wengi wanapenda kujishughulisa na nini..
 
Uzi umetulia kinoma, ngoja nkipata muda nije nipitie kwa undan zaid nahisi sitatoka mtupu…
 
Naona watu wanakula chips sema vbanda vingi sana huku alafu wanakula sana nyama choma

Choma Mbuzi unauza kwa nusu kg au kilo unasimika kwenye vijiti unachoma

Usiuze portions
 
Utashauliwa na mtu yuko Dar ilihali wewe ndo unajua hapo Mbulu jamii inahitaji nini
 
Mimi
Naomba msaada hapo kwenye nguo Belo nipo dar es salaam 0678797827
 
Mimi

Naomba msaada hapo kwenye nguo Belo nipo dar es salaam 0678797827
Ngoja nimsaidie huyo ndugu....

Belo zimepanda bei sahizi belo za nguo zunategemeana na quality ila kuanzia 250,000 kupanda unaoata belo la nguo nzuri kwa kg100.....

Kuna watu walisema zinapatikana mnazi mmoja, na kuna wengine walisema kariakoo kwa wachina wanabelo nzuri

Ila biashara hii sikuhizi, imekuwa na ushindani, so ili uwin soko uwe na nguo quality sana na uangalie walengwa wako ni watu gani na wanapenda nguo gani....

Skin jeans, brouse kali, koti jeans , korean koti [kwamikoa ya baridi], gauni kali za party [party dress] shati na suluari za officin

Hapo nimepanga kwa kufuatisha bidhaa zinazotoka sana age iwe kubwa kiasi, size za wanachuo kuliko wanafunzi wa sec ambao wengi hawawezi afford.

Ila angalizo; kununua belo kunaweza kukupa hasara kwani ni 50% 50% unaweza pata mzigo mzuri sana au mbaya sana, ila kuna wazoefu wanaangalia label [lebo] zinazowekwa kwa mabelo nje kila rangi ya label ya belo huwa inaakisi quality yake......maana kuna watu wanajulikana kwa uzuri wa kuwa na nguo nzuri pia unaweza tu toa tip kwa wanaokuuzia kuwa wakutafutie belo zuri

Ila kama huwezi pata mzoefu au mtu wa tip basi ji heri uchague nguo 1 1 sehemu za minada mikubwa dar ilala boma na kulikuwa na karume kuanzia saa 12 asubuh mabelo yanakatwa unachagua nguo nzuri kwa bei ndogo kwa laki 3 unaweza pata nguo hata 100+ kutegemea na uhitaji na nguo gani
 

Mkuu naomba nielekeze pa kupatia Bello la kg 100 kuanzia 250,000
 
Hakika umenena vyema
 
mkuuu kannunue mihogo tabora uje uuze hapa dar es salaam utanishukuru kwa,huo mtaji wako
 
Mtu anisaidie kwanza namna Milioni 2 inaweza kuanzisha bucha ya nyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…