figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Chukua beli moja la mtumba jeans za kiume. Chambua nzuri weka pembeni.zinazobaki piga mnada hata kwa buku buku hata jero. Matambala yanayobaki yakatekate wauzie wenye gereji kwa mafungu.
Zile nzuri ulizopata kwa kuwa upo arusha zipeleke migodini kwa wana aporo uza moja moja.piga ka miezi 2 halafu urudi hapa useme imekuaje.
kwa hapa dar beli zuri unaweza pata kwa tsh160000/-.mia