Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe ulipanga kufanya biashara gani? tuanze na hilo kwanza.
Kwa pesa hiyo unaweza kufanya biashara ya vitumbua au mama niwekee.
nakushauri ujifunze kupaka rangi na kutengeneza kucha akina dada. ni kabiashara kazuri sana kwa hela uliyonayo itatosha kwa kuanzia
Ongea na Chadema wakuonyeshe wanapouza Mabati na Cement sh. 5000 ili ufanye hiyo.
Inafaa uianze wewe kwanza
Kuna watu wanapenda kuvunja moyo wenzao!!!
Mtu anauliza unamjibu kwa dhihaka.
Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD