Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Daa aiseee nipe contact yako nafanya hizo mishe ila nataka tukutane tushauriane kwenye business
 
Mwenye kazi ya kutengeneza madirisha ya aluminum,milango kabati,shelf anitafute 0745866224
 
Habari za mida hii wana JF,
Naomba kuuliza, kwa mtaji wa Tsh 200, 000 naweza kuanzisha biashara gani hapa Dar itakayoniwezesha kutengeneza faida ya Tsh 20, 000 kwa siku!!
Msaada wenu tafadhari!!
Mahindi au mihogo ya kuchoma utapiga pesa kama kazopata
 
Poleee wee namtaji WA 50000 naingiza Zaid ya 30000. Usikariri maisha
 
Aisee pole sana
 
Acha ubishi na ujuaji, hiyo elf 20 muuza pweza anapata na zaidi,
Tatizo mnajikuta wajuaji wa Kila biashara.
 
Je anaweza fanya biashara gani na yupo mkoani ?. Na je akija Dar es salaam anaweza fanya biashara gani ??
 
Upo wap mkuu
 
Upo wapi wewe
 
Nianzishe Biashara gani ambayo inaweza kunisogeza mbele Kwa mtaji wa laki 2 ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…