Kijana leo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,861
- 810
Mi nakushauri kama wewe ni mtunzaji na una matumizi mazuri ya pesa, fanya biashara ya kuuza Vocha, kwa sababu mzunguko na utokaji wa vocha kwa maeneo ya taasisi kama ulivyosema ni mkubwa, hivyo ushauri wangu fanya biashara hiyo huku ukikuza mtaji
Mkuu,faida ya vocha ni extremely low,ukiuza sh.laki moja,faida ni shs.5000 tu.
Mkuu,faida ya vocha ni extremely low,ukiuza sh.laki moja,faida ni shs.5000 tu.
nalitambua hilo, lakini let us say maeneo ya chuo ulipo wewe kwa siku unaweza kuuza na ukamaliza vocha za laki moja mara ngapi ndani ya masaa24? kama tukikadiria kwa siku unauza vocha za laki tatu faida ni shi ngapi? usiwe na aibu kwenye biashara hii muuzie kila mtu katika eneo lako kwa mtaji mdogo ulionao hii ndo biashara ambayo haiwezi kukuletea hasara
King Octavian hiv unajua katika laki 3 kuna elfu 1 mia 3
na bandu za kujiunga hizi ukiacha na maduka yanayouza vocha maeneo ya chuo.
Leo nikauze vocha za laki 3?
Teh teh teh....ngoja niende jukwa la dokta nikapate tiba ya kushusha cheko hili!
Mie nakushauri biashara ya nguo, kila jumamosi kama unaweza damka ilala au mtume mtu chagua nguo nzuri za kike unawatembezea hosteli jioni kabla ya prep baadae watakuwa wanakufuata mradi uweze kulishika soko sio wakija hauna kitu. Kuna ndugu alikuwa akiifanya, haikupotezei muda kama vocha saa zote.
Nunua saa za mkononi online na uje kuwauzia watu, zinafaida sana
Chukua hilo wazo la biashara ya nguo na ulifanyie kazi,limetulia.Do it on weekend.
na ni kweli pale ilala, nguo ni bei rahisi sana, hiyo asubuhi, mia 5 mpka elfu 2, inategemea na uchakalikaji.
Kama huna ushauri kaa kando.