Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

huu uzi peleka kule jukwaa husika ndugu waweza pata ushauri mzuri zaidi. ila upo mkoa gani? na pia anza kuangalia hapo hapo chuoni kwako kuna mahitaji gani? mfani waweza anza kuuza limu kwa bei rahisi na yenye faida, au ukanunua flash na external kisha ukaanza kuuza.
 
Mi nakushauri kama wewe ni mtunzaji na una matumizi mazuri ya pesa, fanya biashara ya kuuza Vocha, kwa sababu mzunguko na utokaji wa vocha kwa maeneo ya taasisi kama ulivyosema ni mkubwa, hivyo ushauri wangu fanya biashara hiyo huku ukikuza mtaji
 
Mkuu,faida ya vocha ni extremely low,ukiuza sh.laki moja,faida ni shs.5000 tu.
 
Mkuu,faida ya vocha ni extremely low,ukiuza sh.laki moja,faida ni shs.5000 tu.

nalitambua hilo, lakini let us say maeneo ya chuo ulipo wewe kwa siku unaweza kuuza na ukamaliza vocha za laki moja mara ngapi ndani ya masaa24? kama tukikadiria kwa siku unauza vocha za laki tatu faida ni shi ngapi?

Usiwe na aibu kwenye biashara hii muuzie kila mtu katika eneo lako kwa mtaji mdogo ulionao hii ndo biashara ambayo haiwezi kukuletea hasara
 
nalitambua hilo, lakini let us say maeneo ya chuo ulipo wewe kwa siku unaweza kuuza na ukamaliza vocha za laki moja mara ngapi ndani ya masaa24? kama tukikadiria kwa siku unauza vocha za laki tatu faida ni shi ngapi? usiwe na aibu kwenye biashara hii muuzie kila mtu katika eneo lako kwa mtaji mdogo ulionao hii ndo biashara ambayo haiwezi kukuletea hasara

hizo vocha za laki 3 zinauzika chuo gani nami nianze kuuza mkuu?
 
King Octavian hiv unajua katika laki 3 kuna elfu 1 mia 3
na bandu za kujiunga hizi ukiacha na maduka yanayouza vocha maeneo ya chuo.

Leo nikauze vocha za laki 3?
Teh teh teh....ngoja niende jukwa la dokta nikapate tiba ya kushusha cheko hili!
 
Last edited by a moderator:

hahahaaa ko mkuu ulitaka kusemaje hapo, angalia juu jamaa anaomba msaada wa kushauriwa na sio kuchekewa au kuchekeshwa
 
Last edited by a moderator:
Mie nakushauri biashara ya nguo, kila jumamosi kama unaweza damka ilala au mtume mtu chagua nguo nzuri za kike unawatembezea hosteli jioni kabla ya prep baadae watakuwa wanakufuata mradi uweze kulishika soko sio wakija hauna kitu. Kuna ndugu alikuwa akiifanya, haikupotezei muda kama vocha saa zote.
 
ushauri mzuri sana,achukue za kike ndo dili
 
Pia nguo za ndan kama anaweza mpya hasa za kike anaweza pata faida pia vitu vya urembo
 
na ni kweli pale ilala, nguo ni bei rahisi sana, hiyo asubuhi, mia 5 mpka elfu 2, inategemea na uchakalikaji.

utata ni huyu mdau anapatikana wapi?
Naona wachangiaji tunatumia mazingira ya kufikirika ..et 'ilala'....pia hatujui kama hicho chuo hakuna wafanya biashara wadogo wadogo(wamachinga)! Maana kwa uzoefu wangu kwa hapa town kila chuo hawa watu wanakuwa wametega nguo za kike viatu na sendoz za kike!
 
Back
Top Bottom