ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Nunua nguo Dar peleka huko watanunua tu hizo kwani zimetoka bongo ulaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wachoyo sana kumchangia mwenzao mawazo tu atoke ila umbea watafanya hadi kukuche. Ushenzi sana huu ndio maana Tanzania kuendelea itakuwa ngumu na ufisadi utkuwa kwenye, kwani ufisadi ni shortcut ya kufikiri. Kwa maana hii Tanzania ni kama imelaaniwa au sawa na kund*u za nyani, yeye hucheka mwenziwe akidhani yeye hana kund*u hilo. Taabu sana hata ukiangalia hapa jamvini mambo mengine yanayojadiliwa ni ya kipuuzi na yale ya maana watu hawajadili kwa inavyopasa. Hii ni challenge kwenu wanajamvi. Sasa tuone watakavyosutuka. Utapata miradi ya kutosha kambi7. Ingekuwa unaandika kuhusu mme au mke ametoroka nyumbani ungeona hata PM ungepata. Tusubiri sasa kambi7!
Nunua samaki peleka mahoteli makubwa, nenda mwenyewe kwa wavuvi...
Nunua dagaa peleka minadani, nunua kwa wavuvi moja kwa moja...
Au nunua dagaa peleka Dar...
nunua nguo dar peleka huko watanunua tu hizo kwani zimetoka bongo ulaya
Watu wachoyo sana kumchangia mwenzao mawazo tu atoke ila umbea watafanya hadi kukuche. Ushenzi sana huu ndio maana Tanzania kuendelea itakuwa ngumu na ufisadi utkuwa kwenye, kwani ufisadi ni shortcut ya kufikiri. Kwa maana hii Tanzania ni kama imelaaniwa au sawa na kund*u za nyani, yeye hucheka mwenziwe akidhani yeye hana kund*u hilo. Taabu sana hata ukiangalia hapa jamvini mambo mengine yanayojadiliwa ni ya kipuuzi na yale ya maana watu hawajadili kwa inavyopasa. Hii ni challenge kwenu wanajamvi. Sasa tuone watakavyosutuka. Utapata miradi ya kutosha kambi7. Ingekuwa unaandika kuhusu mme au mke ametoroka nyumbani ungeona hata PM ungepata. Tusubiri sasa kambi7!
Mshiri wewe mbona haujamsaidia mawazo yako? usikae kulaumu tu.
Kama unayo frem ambayo siyo ya kulipia kodi fanya biashara ya spea za pikipiki na baiskeli.
Mshiri wewe mbona haujamsaidia mawazo yako? usikae kulaumu tu.
Watu wachoyo sana kumchangia mwenzao mawazo tu atoke ila umbea watafanya hadi kukuche. Ushenzi sana huu ndio maana Tanzania kuendelea itakuwa ngumu na ufisadi utkuwa kwenye, kwani ufisadi ni shortcut ya kufikiri. Kwa maana hii Tanzania ni kama imelaaniwa au sawa na kund*u za nyani, yeye hucheka mwenziwe akidhani yeye hana kund*u hilo. Taabu sana hata ukiangalia hapa jamvini mambo mengine yanayojadiliwa ni ya kipuuzi na yale ya maana watu hawajadili kwa inavyopasa. Hii ni challenge kwenu wanajamvi. Sasa tuone watakavyosutuka. Utapata miradi ya kutosha kambi7. Ingekuwa unaandika kuhusu mme au mke ametoroka nyumbani ungeona hata PM ungepata. Tusubiri sasa kambi7!
Nina vingi vya kukushauri lkn mpk uvuke boda.....
Kuna viatu vinaitwa yelo soft huku vinapatikana kwa tshs 4000/5000 hapo mwz unauza tsh 14000.
Changia mawazo basi mbona unalalamika tu
hahaha watanzania sisi ni wabinafsi sana...tunasahau kwamba ILI UPATE INABIDI UTOEeti jamani! aseme ili tunufauke
hahaha watanzania sisi ni wabinafsi sana...tunasahau kwamba ILI UPATE INABIDI UTOE
Nina vingi vya kukushauri lkn mpk uvuke boda.....
Kuna viatu vinaitwa yelo soft huku vinapatikana kwa tshs 4000/5000 hapo mwz unauza tsh 14000.
Laki 8 ni nyingi sana kama unajicho pevu la tatu la kuziona fursa,binafsi nishaanzaga na mtaji wa Tsh40000(elfu arubain tu) right now nina ROI ya 7m kama faida every two weeks ni ngumu kuamini but thats it..anyway nisikuchoshe
Tafuta washing machine with dry cleaning system, used atleast ichukue kwa 400000
Huna haja ya kununu liquid soap you can make it by your own at your home.
Huna haja ya kukodi frem..tafuts eneo lavwazo hapo nyumbani kwako au chumba cha wazi
Tafuta hosteli na vyuo vyenye mkusanyiko wa watu wengi maeneo ya karibu yako..bandika ads kwamba unafua na kupasi nguo za wanafunzi na watu wengine kwa bei nafuu na ofa maalumu plus nguo za aina yoyote..lets say unafua na kupasi T-shirt na jeans kwa 2500 each@1250 plus ofa ya kufua boxer na vest/sidiria na chupi bure kwa mhusika mmoja..
400000 ivunje kama ifuatavyo:
toa 50000 nunua baiskeli
toa 100000 ingia mkataba wa miezi mitano kwanza na kijana mdogo kutoka uswekeni ambaye hana ajira wa kumlipa 20000 kila mwezi plus allowance ya 500 kwa kila complete order anayoileta(ya 2500)..mpe baiskel kwaajili ya kuchukua na kurudisha order za watu.huyu kijana usisahau kumpa motisha za malazi chakula na matibabu.
Imebaki 250000:Ivunje kama ifuatavyo
Toa 50000 nunua pasi na perfumes mbili moja ya kike na moja ya kiume(perfume ni mbwembwe tu kwa wateja wako)
Toa 30000 nunua enga za bei rahisi au tafuta muuza mitumba akuelekeze material ya kununua kwa ajili kutengeneza enga za gharama nafuu..hizi enga zitumike kutudukia na kudeliver nguo za watu..ila zisibaki kwa wateja.
Toa 30000 tengeneza kijikabti au sanduku nyuma ya ile baiskeli kwaajili ya kucollect na kudeliver order za watu.
Imebaki 140000 toa 50000 ingia mkataba na muuza maji wa karibu yako kuchukua dumu tatu kwa hesabu ya 750 kila siku za kazi kwa muda wa miez miwili..NB:Kama una'access na maji ya bure hii ni salama yako
Imebaki 90000 toa 40000 kwaajili ya kununua liquid soap materials pamoja na jiki material ya kutengeneza jiki nyumbani..
Imebaki 50000 toa 35000 iweke iwe pesa ya kulipia gharama za umeme kwa kipindi cha atleast mwezi mmoja na nusu..na 15000 kwaajili ya yale mabandiko ya printed white paper kama matangazo NB:inabidi wewe na yule kijana muwe nembo muhimu ya kuitangaza biashara yenu msitegemee mabandiko tu.
Kilichobaki ni kuanza kazi na kusubiri mvua ya wateja itakayo kuwa ikimiminika hapo ulipo..
Zingatia huduma nzuri kwa wateja wako.Na pia zingatia ulichowekeza na utakachokuwa ukikipata kama faida...pia zingatia ghatama nafuu kwakila huduma ya kuzisafisha nguo za wateja wao..lengo ni kuwa'outstand major dry cleaning franchises na kuprovide huduma kama yao ila kwa bei nafuu..Zaidi ya hapo SEE YOU AT THE TOP..WISHING YOU ALL THE BEST 😉