Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Laki 8 ni nyingi sana kama unajicho pevu la tatu la kuziona fursa,binafsi nishaanzaga na mtaji wa Tsh40000(elfu arubain tu) right now nina ROI ya 7m kama faida every two weeks ni ngumu kuamini but thats it..anyway nisikuchoshe
Tafuta washing machine with dry cleaning system, used atleast ichukue kwa 400000
Huna haja ya kununu liquid soap you can make it by your own at your home.
Huna haja ya kukodi frem..tafuts eneo lavwazo hapo nyumbani kwako au chumba cha wazi
Tafuta hosteli na vyuo vyenye mkusanyiko wa watu wengi maeneo ya karibu yako..bandika ads kwamba unafua na kupasi nguo za wanafunzi na watu wengine kwa bei nafuu na ofa maalumu plus nguo za aina yoyote..lets say unafua na kupasi T-shirt na jeans kwa 2500 each@1250 plus ofa ya kufua boxer na vest/sidiria na chupi bure kwa mhusika mmoja..
400000 ivunje kama ifuatavyo:
toa 50000 nunua baiskeli
toa 100000 ingia mkataba wa miezi mitano kwanza na kijana mdogo kutoka uswekeni ambaye hana ajira wa kumlipa 20000 kila mwezi plus allowance ya 500 kwa kila complete order anayoileta(ya 2500)..mpe baiskel kwaajili ya kuchukua na kurudisha order za watu.huyu kijana usisahau kumpa motisha za malazi chakula na matibabu.
Imebaki 250000:Ivunje kama ifuatavyo
Toa 50000 nunua pasi na perfumes mbili moja ya kike na moja ya kiume(perfume ni mbwembwe tu kwa wateja wako)
Toa 30000 nunua enga za bei rahisi au tafuta muuza mitumba akuelekeze material ya kununua kwa ajili kutengeneza enga za gharama nafuu..hizi enga zitumike kutudukia na kudeliver nguo za watu..ila zisibaki kwa wateja.
Toa 30000 tengeneza kijikabti au sanduku nyuma ya ile baiskeli kwaajili ya kucollect na kudeliver order za watu.
Imebaki 140000 toa 50000 ingia mkataba na muuza maji wa karibu yako kuchukua dumu tatu kwa hesabu ya 750 kila siku za kazi kwa muda wa miez miwili..NB:Kama una'access na maji ya bure hii ni salama yako
Imebaki 90000 toa 40000 kwaajili ya kununua liquid soap materials pamoja na jiki material ya kutengeneza jiki nyumbani..
Imebaki 50000 toa 35000 iweke iwe pesa ya kulipia gharama za umeme kwa kipindi cha atleast mwezi mmoja na nusu..na 15000 kwaajili ya yale mabandiko ya printed white paper kama matangazo NB:inabidi wewe na yule kijana muwe nembo muhimu ya kuitangaza biashara yenu msitegemee mabandiko tu.
Kilichobaki ni kuanza kazi na kusubiri mvua ya wateja itakayo kuwa ikimiminika hapo ulipo..
Zingatia huduma nzuri kwa wateja wako.Na pia zingatia ulichowekeza na utakachokuwa ukikipata kama faida...pia zingatia ghatama nafuu kwakila huduma ya kuzisafisha nguo za wateja wao..lengo ni kuwa'outstand major dry cleaning franchises na kuprovide huduma kama yao ila kwa bei nafuu..Zaidi ya hapo SEE YOU AT THE TOP..WISHING YOU ALL THE BEST 😉
Licha ya ugumu wa upatikanaji wa mashine kwa bei hizo katika maeneo ya mwanza, pia kuna stadi umezitaja kama kutengeneza sabuni.., na kupasi nguo. Hapo ndo changamoto inapoanzia.
 
Duuu aisee I have to admit
Mkuu una mawazo pevu sana
 
Licha ya ugumu wa upatikanaji wa mashine kwa bei hizo katika maeneo ya mwanza, pia kuna stadi umezitaja kama kutengeneza sabuni.., na kupasi nguo. Hapo ndo changamoto inapoanzia.

Sidhan kama kuna ugumu kiasi hcho but ukiangalia sana u have to choose mazingira Rafiki kwa biashara husika
Kwa mfano around hostels au vyuo ni muhm zaid
 
Watu wachoyo sana kumchangia mwenzao mawazo tu atoke ila umbea watafanya hadi kukuche. Ushenzi sana huu ndio maana Tanzania kuendelea itakuwa ngumu na ufisadi utkuwa kwenye, kwani ufisadi ni shortcut ya kufikiri. Kwa maana hii Tanzania ni kama imelaaniwa au sawa na kund*u za nyani, yeye hucheka mwenziwe akidhani yeye hana kund*u hilo. Taabu sana hata ukiangalia hapa jamvini mambo mengine yanayojadiliwa ni ya kipuuzi na yale ya maana watu hawajadili kwa inavyopasa. Hii ni challenge kwenu wanajamvi. Sasa tuone watakavyosutuka. Utapata miradi ya kutosha kambi7. Ingekuwa unaandika kuhusu mme au mke ametoroka nyumbani ungeona hata PM ungepata. Tusubiri sasa kambi7!

Maneno yako yana ukakas
 
wazo la fasta fasta,bajeti itasomwa hivi punde na kuna bidhaa zitapanda bei. Katika hizo bidhaa sigara ni moja yapo. Cha kufanya,chukua hiyo hela yote nunua sigara kwa jumla nadhani bei wastani itakuwa 1700 kwa pakiti moja. Kwa laki nane utapata pakeeti 470.

Kwa makadirio ya chini paketi moja litauzwa shillingi 2000 baada ya budget ijayo,kwa hiyo utatengeneza angalau 300 kwa kila paketi moja ikimaanisha utapata faida ya angalau ya 141000 ukimaliza mzigo wote ambao ni sawa na 17.6% ya mtaji wako. Sio mbaya sana, just give it a try.
Ahsante.
 
!
!
wazo la fasta fasta,bajeti itasomwa hivi punde na kuna bidhaa zitapanda bei. Katika hizo bidhaa sigara ni moja yapo. Cha kufanya,chukua hiyo hela yote nunua sigara kwa jumla nadhani bei wastani itakuwa 1700 kwa pakiti moja. Kwa laki nane utapata pakeeti 470. Kwa makadirio ya chini paketi moja litauzwa shillingi 2000 baada ya budget ijayo,kwa hiyo utatengeneza angalau 300 kwa kila paketi moja ikimaanisha utapata faida ya angalau ya 141000 ukimaliza mzigo wote ambao ni sawa na 17.6% ya mtaji wako. Sio mbaya sana, just give it a try.
Ahsante.

asante mkuu wazo zuri pia tafanyia kazi
 
asante mkuu nimevutiwa sana na wazo lako pamoja na analysis nzuri naamini umesaidia wengi tu sio mimi tu, tafanyia kazi

Tupo pamoja mkuu usisite kurudi hapa na kutueleza maendeleo yako baada ya miezi angalau mitatu.

Inabidi uwe komandoo wa biashara achana na mtu anaekueleza you can not make millions without millions..trust me even 30000 can turn you into a millionaire...

Changamoto kubwa ni kuwa innovative katika kila approaches unayofanya kudeliver na kumake products au services zako...Meanwhile nikutakie mafanikio mema.Kufanikiwa kwako ni A WAKE UP CALL kwa vijana wengine mtaani kwako. 🙂
 
Licha ya ugumu wa upatikanaji wa mashine kwa bei hizo katika maeneo ya mwanza, pia kuna stadi umezitaja kama kutengeneza sabuni.., na kupasi nguo. Hapo ndo changamoto inapoanzia.
Hakuna changamoto yoyote hapo mkuu..kama utajitolea akili muda na nishati ya mwili wako,vyote nilivyotaja vinawezekana..hizo stadi ni nyepesi sana Binafsi ninazo mia moja(100) stadi za kutengeneza vitu tofaut ni rahisi na hazina gharama
Nafikiria kuanzisha thread humu ndani itakayokuwa ikizielezea moja baada ya nyingine sitataka hata sumuni ya mtu,..Ntajitolea kwa nchi na vijana wenzangu..Watakaokuwa makini watavuna.
 
mkuu nakusoma nukta baada ya nukta umenisaidia sana kwa kweli
 
hivi jamani nini tofauti kati ya mashine ya LAUNDRY na DRY and CLEAN
 
Laki 8 ni nyingi sana kama unajicho pevu la tatu la kuziona fursa,binafsi nishaanzaga na mtaji wa Tsh40000(elfu arubain tu) right now nina ROI ya 7m kama faida every two weeks ni ngumu kuamini but thats it..anyway nisikuchoshe
Tafuta washing machine with dry cleaning system, used atleast ichukue kwa 400000
Huna haja ya kununu liquid soap you can make it by your own at your home.
Huna haja ya kukodi frem..tafuts eneo lavwazo hapo nyumbani kwako au chumba cha wazi
Tafuta hosteli na vyuo vyenye mkusanyiko wa watu wengi maeneo ya karibu yako..bandika ads kwamba unafua na kupasi nguo za wanafunzi na watu wengine kwa bei nafuu na ofa maalumu plus nguo za aina yoyote..lets say unafua na kupasi T-shirt na jeans kwa 2500 each@1250 plus ofa ya kufua boxer na vest/sidiria na chupi bure kwa mhusika mmoja..
400000 ivunje kama ifuatavyo:
toa 50000 nunua baiskeli
toa 100000 ingia mkataba wa miezi mitano kwanza na kijana mdogo kutoka uswekeni ambaye hana ajira wa kumlipa 20000 kila mwezi plus allowance ya 500 kwa kila complete order anayoileta(ya 2500)..mpe baiskel kwaajili ya kuchukua na kurudisha order za watu.huyu kijana usisahau kumpa motisha za malazi chakula na matibabu.
Imebaki 250000:Ivunje kama ifuatavyo
Toa 50000 nunua pasi na perfumes mbili moja ya kike na moja ya kiume(perfume ni mbwembwe tu kwa wateja wako)
Toa 30000 nunua enga za bei rahisi au tafuta muuza mitumba akuelekeze material ya kununua kwa ajili kutengeneza enga za gharama nafuu..hizi enga zitumike kutudukia na kudeliver nguo za watu..ila zisibaki kwa wateja.
Toa 30000 tengeneza kijikabti au sanduku nyuma ya ile baiskeli kwaajili ya kucollect na kudeliver order za watu.
Imebaki 140000 toa 50000 ingia mkataba na muuza maji wa karibu yako kuchukua dumu tatu kwa hesabu ya 750 kila siku za kazi kwa muda wa miez miwili..NB:Kama una'access na maji ya bure hii ni salama yako
Imebaki 90000 toa 40000 kwaajili ya kununua liquid soap materials pamoja na jiki material ya kutengeneza jiki nyumbani..
Imebaki 50000 toa 35000 iweke iwe pesa ya kulipia gharama za umeme kwa kipindi cha atleast mwezi mmoja na nusu..na 15000 kwaajili ya yale mabandiko ya printed white paper kama matangazo NB:inabidi wewe na yule kijana muwe nembo muhimu ya kuitangaza biashara yenu msitegemee mabandiko tu.
Kilichobaki ni kuanza kazi na kusubiri mvua ya wateja itakayo kuwa ikimiminika hapo ulipo..
Zingatia huduma nzuri kwa wateja wako.Na pia zingatia ulichowekeza na utakachokuwa ukikipata kama faida...pia zingatia ghatama nafuu kwakila huduma ya kuzisafisha nguo za wateja wao..lengo ni kuwa'outstand major dry cleaning franchises na kuprovide huduma kama yao ila kwa bei nafuu..Zaidi ya hapo SEE YOU AT THE TOP..WISHING YOU ALL THE BEST 😉
Nakupa fagio wangu. Unafikiria mbali sana aisee!!. Hata kama hii kitu isi-work but you've got geniousity....
 
Back
Top Bottom