Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Licha ya ugumu wa upatikanaji wa mashine kwa bei hizo katika maeneo ya mwanza, pia kuna stadi umezitaja kama kutengeneza sabuni.., na kupasi nguo. Hapo ndo changamoto inapoanzia.
 

Duuu aisee I have to admit
Mkuu una mawazo pevu sana
 
Licha ya ugumu wa upatikanaji wa mashine kwa bei hizo katika maeneo ya mwanza, pia kuna stadi umezitaja kama kutengeneza sabuni.., na kupasi nguo. Hapo ndo changamoto inapoanzia.

Sidhan kama kuna ugumu kiasi hcho but ukiangalia sana u have to choose mazingira Rafiki kwa biashara husika
Kwa mfano around hostels au vyuo ni muhm zaid
 

Maneno yako yana ukakas
 
wazo la fasta fasta,bajeti itasomwa hivi punde na kuna bidhaa zitapanda bei. Katika hizo bidhaa sigara ni moja yapo. Cha kufanya,chukua hiyo hela yote nunua sigara kwa jumla nadhani bei wastani itakuwa 1700 kwa pakiti moja. Kwa laki nane utapata pakeeti 470.

Kwa makadirio ya chini paketi moja litauzwa shillingi 2000 baada ya budget ijayo,kwa hiyo utatengeneza angalau 300 kwa kila paketi moja ikimaanisha utapata faida ya angalau ya 141000 ukimaliza mzigo wote ambao ni sawa na 17.6% ya mtaji wako. Sio mbaya sana, just give it a try.
Ahsante.
 

asante mkuu wazo zuri pia tafanyia kazi
 
asante mkuu nimevutiwa sana na wazo lako pamoja na analysis nzuri naamini umesaidia wengi tu sio mimi tu, tafanyia kazi

Tupo pamoja mkuu usisite kurudi hapa na kutueleza maendeleo yako baada ya miezi angalau mitatu.

Inabidi uwe komandoo wa biashara achana na mtu anaekueleza you can not make millions without millions..trust me even 30000 can turn you into a millionaire...

Changamoto kubwa ni kuwa innovative katika kila approaches unayofanya kudeliver na kumake products au services zako...Meanwhile nikutakie mafanikio mema.Kufanikiwa kwako ni A WAKE UP CALL kwa vijana wengine mtaani kwako. 🙂
 
Licha ya ugumu wa upatikanaji wa mashine kwa bei hizo katika maeneo ya mwanza, pia kuna stadi umezitaja kama kutengeneza sabuni.., na kupasi nguo. Hapo ndo changamoto inapoanzia.
Hakuna changamoto yoyote hapo mkuu..kama utajitolea akili muda na nishati ya mwili wako,vyote nilivyotaja vinawezekana..hizo stadi ni nyepesi sana Binafsi ninazo mia moja(100) stadi za kutengeneza vitu tofaut ni rahisi na hazina gharama
Nafikiria kuanzisha thread humu ndani itakayokuwa ikizielezea moja baada ya nyingine sitataka hata sumuni ya mtu,..Ntajitolea kwa nchi na vijana wenzangu..Watakaokuwa makini watavuna.
 

mkuu nakusoma nukta baada ya nukta umenisaidia sana kwa kweli
 
hivi jamani nini tofauti kati ya mashine ya LAUNDRY na DRY and CLEAN
 
Nakupa fagio wangu. Unafikiria mbali sana aisee!!. Hata kama hii kitu isi-work but you've got geniousity....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…