figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906

mwana,chukua beli moja la mtumba jeans za kiume.chambua nzuri weka pembeni.zinazobaki piga mnada hata kwa buku buku hata jero.matambala yanayobaki yakatekate wauzie wenye gereji kwa mafungu.zile nzuri ulizopata kwa kua upo arusha zipeleke migodini kwa wana aporo uza moja moja.piga ka miezi 2 halafu urudi hapa useme imekuaje.

kwa hapa dar beli zuri unaweza pata kwa tsh160000/-.mia
Sababu unauza vocha tayari ongezea kwenye biashara yako ya vocha yafuatayo:-
Kumbuka kama umefanikisha kupata mkate wa kila siku kwa kuuza vocha ambazo faida ni ndogo kwa unit moja (basi inaonekana unauza volume kubwa sana) just imagine kama utatengeneza juice zako mwenyewe..., ukipata wateja hao hao wanaonunua vocha ukawaconvince wakanywa juice basi huenda faida ikawa zaidi 300%
- magazeti (haya hayaitaji mtaji unachukua kwa wakala ukiuza unakata (tshs 40 yako au zaidi sina uhakika) na yanayobaki unamrudishia wakala
- sigara, biscuits, pipi, n.k. (huu mtaji wake ni mdogo)
- juice (tena tengeneza zako mwenyewe) hapo profit margin itakuwa kubwa.., lakini utahitaji zile dumu portable ili uweke barafu ziwe za baridi pia unaweza kuuza na maji
- Ongea na wafanyabiashara wenye maduka ili hata uweke pesa kidogo rehani (kama laki moja) ili wawe wanakupa bidhaa za kuuza kwa mali kauli, yaani ukishauza unawapa pesa zao na wewe unachukua faida usipouza unawarudishia
- Karanga (kuna mtu aliniambia hii biashara Tshs 1 inazaa Tshs 1)
- Sababu Arusha watalii wengi inategemea location yake sababu vilevile unaweza ukaongea na watu wenye ule urembo wa kitamaduni na vinyago ukaweka sample kwenye kijiwe chako ukiuza basi unapata commission yako usipouza basi hauna hasara.

Duh! laki mbili ni bonge la challenge,mimi juzi nilipata 5mil. mpaka leo sijajua nini cha kufanyia ili ijizae.tatizo langu ni muda wa kusimamia hiyo shuguli.

-kwa kuwe tayari mtoa mada anajua kutumia JF forums,nakushauri ufungue blog yako,sajili domain name .co.tz kwa elfu25 ,then anzisha biashara ya udalali, hapo itabaki kama laki,irudishie ktk vocha.

2-kanunue/tengenez mkokoteni wa maji,mtafute kijana kila siku akupe elfu 3 tu, after 3months utakuwa na laki3,pesa yako imerudi na unaweza kuongeza mtaji wa vocha

Mkubwa labda,ufungue kibanda cha chips kinalipa sana,but ongeza capital yako kidogo,ni ndogo sana kwa biashara za miaka hii
Senetor uza matunda.

mzee genge litakutoa kama alivyoshauri husniyo.......

kuna mangi mmoja alikuwa anauza genge sahv ana boutique.
Anza kampuni ndogo ya kuosha magari. tafuta vijana 5 tafuta location nzuri a.ka kwenye baa maarufu, bila aibu wala uwoga wa kukutwa na washikaji zako piga kazi na ikibidi na wewe mwenyewe uwe front kuwatia moyo vijana wako.

Ingekuwa vizuri kama utatuhakikishia kuwa hakuwa na bishara nyingine kwa sababu hujatoa muda aliokaa ktk biashara ya genge lake.
Kaanga miogo.
Katika kutaka kujiongezea kipato nataka kufungua busness nyingne ndogo bt mtaji ndo huo hapo juu.kwa sasa ni muuza vocha{TIGO RUSHA},naomben mawazo yenu,nianze kuzungusha nin wakuu..??
Senetor uza matunda.