Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

MAthematicia asante sana kwa ushauri ulio utoa kwa uyo kijana umefanya jambo la msingi sana naamini sote tutakua tumefaidika na hiko wazo mimi pia ni mija wa vijana wenye mtaji usio pungua million 4 lakini nimeshindwa ni aina gani ya biashara naweza kufanya ika nipa turn over ya uhakika na ikawa endelevu.

Ukizingatia biashara kwa sasa zinaitaji kuwa na mitaji mikubwa ili ku sustain kwenye soko. Ningependa mawazo yako zaidi hata ikibidi nikutafute. Najua hakuna la msingi kwa vijana kama kupeana mawazo yanayo weza kuleta maendekeo ya kiuchumi baina yetu sote. 0784215168.
 
Mchanganuo Bab-kubwa...nimeupenda.... Be blessed
 
Tafuta threads zipo humu kibao tu mtaji wa milioni 4 ni mkubwa sana sana sana. Unaweza pitia hii ya nguo kutoka uganda.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-biashara-na-uchumi/605522-biashara-ya-nguo-kutoka-uganda.html
 
Pokea "Gwala" mkuu
 
Utaanza lini mkuu me niko macho kuisaka hizo threads kwa darubini na makamera please do not delay.
stay blessed.
 
Sio siri you must be brave.
 
the guy is after advice and not stories, kijana kwa icho kias jaribu kama ukipata eneo kama sokoni au stend uwe unanunua bidhaa kama sabuni,dawa za meno nk muda mfupi mtaj utakua had utakua na shop yako Mungu akutangulie
 
Utaanza lini mkuu me niko macho kuisaka hizo threads kwa darubini na makamera please do not delay.
stay blessed.
Mkuu unaona wanafunzi wameshaanza ku-enroll, usikawie... kati ya hizo stadi 100 zipo za kutengeneza bia au wine pia?
 
Sidhan kama kuna ugumu kiasi hcho but ukiangalia sana u have to choose mazingira Rafiki kwa biashara husika
Kwa mfano around hostels au vyuo ni muhm zaid
Wanavyuo wa siku hizi wamepigika... sidhani kama ni rahisi kumkuta mtu anapeleka nguo dry cleaner kwa gharama ya 10,000/= kwa wiki ilhali kuna wafagiaji wa hostel wanaweza wakamfulia kwa 5,000/=.
 
...ivi mapanki bado yapo ? Kama vipi kayauze mikoani utamake sana mwana....
 
Wanavyuo wa siku hizi wamepigika... sidhani kama ni rahisi kumkuta mtu anapeleka nguo dry cleaner kwa gharama ya 10,000/= kwa wiki ilhali kuna wafagiaji wa hostel wanaweza wakamfulia kwa 5,000/=.
I think is the better way
Hawafui kila siku but ts better sababu hawapendi kufua
 
hivi jamani nini tofauti kati ya mashine ya LAUNDRY na DRY and CLEAN

Laundry ni kufua kawaida lakini kwa kutumia mashine ya kufulia inayotumia maji na sabuni za unga.
Dry cleaning ni kusafisha nguo au material nyingine zenye asili ya kitambaa kwa vifaa na kemikali ambavyo vinasafisha na kuondoa uchafu bila kutegemea maji au sabuni. Hii iko tofauti kabisa na kufua, ni usafishaji madhubuti sana!
 
mkuu Uso wa nyoka shukrani kwa elimu yako
nikiwa na dry and clean ninaweza tumia sabuni ya maji au unga?
Baada ya kufua hizo nguo, nitahitajka kuzikausha ?
Kimuonekano hizo mashine zinatofauti gani?
Ahsante kwa mara nyingine
 
Last edited by a moderator:
the guy is after advice and not stories, kijana kwa icho kias jaribu kama ukipata eneo kama sokoni au stend uwe unanunua bidhaa kama sabuni,dawa za meno nk muda mfupi mtaj utakua had utakua na shop yako Mungu akutangulie

amina ubalikiwe tafanyia kazi
 
MKUU NIMEKUKUBALI..HONGERA SANA KWA HATUA YA KISHUJAA....TUPO PAMOJA..NA LENGO LAKUFIKIA ROI ATLEast laki4 week
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…