Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?


Mkuu Hakika Wewe Ni Binadamu Na Siyo Mtu. Binafsi Nimekukubali Na Tanzania Yetu Ingepata Watu Kama Nyie Sasa Tungekuwa Mbali Sana Kimaendeleo. Na Mimi Pia Umenipa Darasa Zuri na Tosha.

Nakuombea Maisha Mema Na Marefu Na Endelea Hivyo Kusaidia Kutoa Ushauri Kwa Wanadamu Wenzako Na Ipo Siku Mwenyezi Mungu Atakulipa Maradufu.
 

ungechanganua hizo risk sasa!
 
Wonderful Idea !
 

Libarikiwe tumbo lililo kuzaa..........:A S thumbs_up:
 
Shikamoon kwanza wakuu,

Mimi ni kijana mdogo sana,nimemaliza kidato cha nne na natarajia mwez wa 10 niende chuo lakini ada ni tatizo.Nilipokuwa shule nliweza kujiwekea hela na sasa nina lak 2 nataka izalishe ili nipate hela ya ada.

Naombeni ushauri wenu.
 
Habari zenu wakuu, sina ajira tokea nimemaliza chuo,nilikuwa namdai mtu 100,000 na leo kanipa hyo pesa, naomba ushauri kuhusu biashara ninayoweza kufanya kwa mtaji huo. Nipo Songea.
 
Unaeza nunua samaki wabichi kama wa shs 30,000 na mafuta lita 5,tafuta makuni,tenga kaangio hapo uanze kaanga samaki! Ikiwezekana fungua na genge hapohapo! Kwa capital yako biashara km hiyo ni rahisi na waweza pata faida nzuri tu.Hapo aibu weka pembeni
 
Alivyokushauri ynaa siyo mbaya ni nzuri, ila ungekuwa dar ningekushauri kama ungekuwa na mtu anayeuza vyombo, siku hizi kuna watu wengi sana wanauza uza vyombo barabarani, ungempa hiyo hela kama kuongezea mtaji(ila uwe unamfahamu na awe mwaminifu) yeye atakuwa anakupa kila siku 5000 ambayo kwa mwezi kama sijakosea utakuwa na 150000

Utamuongezea mtaji kidogo ili hata hela yako ya kupata inaongezeka kufikia 10000, mbayo kwa mwezi wa pili utapata 300000 waweza endelea kujipanga. mi niliwashauri wadada wangu wakazi kufanya hivyo ili kuweza kujiwekea akiba endapo atataka kuacha kazi apate kitu cha kwenda kuanzia mtaani nje ya mshahara wake. nawanafanyiwa vizuri sana na hao wakaka(nadhani hii kitu watu hawaifahamu)
 

asante mkuu kwa ushauri
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…