Furah Mshoro
Member
- Aug 15, 2016
- 19
- 8
Dar na arusha ndo sehemu nnazopatikana sana. Nina ujuzi wa uhasibu kidogoKuna maswali mengi sana hapo mkuu
Upo wap, ujuz wako nk
Hio si bahati nasibuKubet pia inaweza kukusaidia...
Ok ntafikiria hiloUza supu ya utumbo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] yaah ila haina longo longiHio si bahati nasibu
Ndio maana nataka kujua ni biashara zipi zinazowezekana kwa hio hela ili nichagueBiashara unachagua mwenyewe, jiulize biashara gani unaimudu ya hela hio
Kipi kipo dar na arusha hakipo and vicevirse,,,,,namaana kwamba ukienda dar uende na bidhaa na ukirud arusha from dar pia ubebe bidhaaDar na arusha ndo sehemu nnazopatikana sana. Nina ujuzi wa uhasibu kidogo
Hah hii kalikopesha kwa riba, unaweza anza na mimi. Nipe laki nitakulipa laki 2 nikipata.
Ebana laki moja ni ndogo kidogo, unaweza kufanya biashara ndogo ndogo inategemea uko Katiba mazingira gani na una connection zipi. Unaweza chukua mashirt, T-shirt, boxers, nguo za wadada , Sox za kiume, viatu vya mtumba vya wadada, kadet , skirt nzuri mtumba first clasa, jeans, nguo za office za mtumba, mashuka ya mtumba, pochi za wadada.. nk unachukua bidhaa kko au karume, then unatfuta soko unauza!! Kuna watu wanaishi hivyo miaka yoteHabari zenu wana JF. Nina sh laki moja na nataka kuingia kwenye biashara. Jen ni biashara gani itafaa nianzishe kwa hicho kiasi cha fedha? Tafadhali naombeni msaada wenu.
Mama Lishe maeneo ya sokoni na yenye ujenzi wa maghorofa. Weka mpishi mzuri, pesa pokea mwenyewe. Bei ya ugali maharage Tzs 500. Hukosi wateja 100 kwa siku. Piga hesabu mwenyewe.Ndio maana nataka kujua ni biashara zipi zinazowezekana kwa hio hela ili nichague
Kama hutajali uwe distributor wa dagaa,ambao hawana nchanga na tayari wamepikwa na spices na chumvi na wamo ndani ya vifungashio.Habari zenu wana JF. Nina sh laki moja na nataka kuingia kwenye biashara. Jen ni biashara gani itafaa nianzishe kwa hicho kiasi cha fedha? Tafadhali naombeni msaada wenu.
Unatafuta distibutors? Ongeza information tuchangamkie fursa!Kama hutajali uwe distributor wa dagaa,ambao hawana nchanga na tayari wamepikwa na spices na chumvi na wamo ndani ya vifungashio.
Shukran
Kama waweza distribute tufanye biashara.. Ni wale dagaa safi,hawana nchanga,ambao wameshapikwa na viungo na chumvi,waweza kunywea chai,kwenye supermarket wanauza mpaka buku mbili jelo.Unatafuta distibutors? Ongeza information tuchangamkie fursa!