Naanza na kabiashara kaka1.) Kupanga fremu ni 1.5m mpaka 5m kwa mwezi (kariakoo), min.ni 18m kwa kodi ya mwaka.
2.) Ili ipate Tin no. inabidi ukalipe 18% thamani ya mkataba TRA bila kusahau stamp duty.
3.)Leseni manispaa itaenda laki 5 per year.
4.) Mashine ya EFD andaa laki 8, TRA wamekaza sana
5.) Andaa na income tax ya around 5mil. Kwa mwaka wako wa kibisshara, ila itategemea tra watakukadiria vipi, wakiamka vibaya wanakuzibua za udo.
Kwa hiyo we jianda kwa hiyo slave enrollment za watu-mwa 70,000
Ni kabiashara gani kumbe umepanga kuanza nako mkuu?Naanza na kabiashara kaka
Siyo Biashara kubwa
Sihitaji hata fremu
Maana nataka kujiajiri
Sijajua ndiyo maana naomba ushauriNi kabiashara gani kumbe umepanga kuanza nako mkuu?
Ahsante kwa ushauriPesa inaweza kuingia kuanzia hapo mlangoni kwako unapoishi,kwa uwezo wako wa laki tano usiwaze kupanga pango,buni biashara ndogo utakayoweza ifanya kwa kutembea au mlango pa nyumba yako.kama una kaeneo kidogo na haujapanga uswazi tengeneza vitalu vya mboga mboga kwa bidii na kisasa kabisa,taratibu utakua unauza mboga mboga na utashangaa mtaji unakua,kumbuka kuuvumilia muda wa kukuza mtaji na kumbuka kua na bidii na poteza aibu kwa watu wala uoga
Ahsante kwa wazo zuri kamandaWeka duka rejareja La bidhaa za majumbani kama vile mchele unga sukari n.k
Mbona nimefafanua nipo MburahatiNakupa wazo zuri sana, kwanza upo maeneo ya wapi hapa Tanzania?
Ahsante kwa ushauriKuuza mkaa inaweza ikawa inalipa, ongea na mtu awe nakuletea kutoka mkoani, kisha wewe unakuwa unasambaza kwa wauza chipsi na watu wa migahawa, unaongea nao kama tenda vile
Weka wazo kwa faida ya wengi mkuu. Mfano kwa waliopo Dar na Pwani....Nakupa wazo zuri sana, kwanza upo maeneo ya wapi hapa Tanzania?
Nakushauri, tafuta sehemu iliyochangamka sana weka genge lako. Nenda soko la buguruni nunua bidhaa za gengeni, vitu ambavyo huwa vinawahi kuharibika usichukue kwa wingi ila ziweke uanze biashara. Genge lako waweza kujenga kwa mbao na miti na maboksi yale makubwa. Mtangulize Mungu ktk kazi hiyo utafanikiwaHeshima kwenu wakuu
Nina laki tano nataka kuanzisha Biashara..naogopa kukurupuka
Wazoefu nisaidieni je naweza kuanzisha Biashara gani ikalipa?
Naishi Mburahati
Baadhi ya vitu waweza weka ni kama nyanya, vitunguu, ndizi mbivu na Mbichi, Matango, machungwa, dagaa za pakiti za Mia tano mia tano, tikiti katakata vipande vya mia mbili mia mbili. Mtaji ukikua waweza weka genge dukaAhsante kwa ushauri
hili ndio lenyewe. Aangalie mazingira anayoishi na uwezo wa watu. Atafute na kuwauzia vile ambavyo havikwepeki kuvitumia kila siku. Nidhamu kwenye matumizi ni muhimu pia.Baadhi ya vitu waweza weka ni kama nyanya, vitunguu, ndizi mbivu na Mbichi, Matango, machungwa, dagaa za pakiti za Mia tano mia tano, tikiti katakata vipande vya mia mbili mia mbili. Mtaji ukikua waweza weka genge duka
ya barafu, ua kule karibu na mabibo?Heshima kwenu wakuu
Nina laki tano nataka kuanzisha Biashara..naogopa kukurupuka
Wazoefu nisaidieni je naweza kuanzisha Biashara gani ikalipa?
Naishi Mburahati