Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Uza bangi
 
mkuu hapo kigamboni biashara ya mazao kama mchele,sembe na maharage,,vp mzunguko wake labda kama unafahamu,,,naatafuta flemu pande za kigamboni nifungue flame
 
Hata biashara ya mitumba inawezekana kwa kiwango hicho cha pesa halafu pia kama ulivyoshauriwa awali kuwa biashara ya matunda na juisi pia itafaa sana na inalipa lakini pia kwa biashara kama ya samaki ilikuwa poa kama ungekuwa na friji
 
Nashukuru mkuu kwa ushauri
 
Mimi nafanya biashara ya Mult level Marketing nilianza na mtaji wa laki 280 inanilipa nanaendelea vizuri kwa sasa. Nakushauri na wewe karibu laki tatu inaweza kuwa mtaji mkubwa sana kwa biashara hii. 0763797853 whatsap na live calls
Kampuni gani mkuu?
 
Habari zenu team! Tuungane kunishauri ni biashara gani naweza kuanzisha kwa sh laki tatu 300,000/= na ikanilipa ndani ya muda mfupi... Ushauri ndugu zanguni..Ahsanteni
Njoo manyara ufanye biashara ya mahindi!
 
Nakubaliana na ww ndugu, nimewahi kujiunga FOREVER LIVING PRODUCT nilijuta na kalaki nne kangu na nusu kakapotea,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…