nyamalagala
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 744
- 673
Asante kwa ushauri mkuuFanya biashara YA matunda mchanganyiko kwa mtaji huo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa ushauri mkuuFanya biashara YA matunda mchanganyiko kwa mtaji huo.
Uza bangiNatumai Rabuka anajaalia wana JF kudra kenyekenye.
Ndugu zangu,
Mimi ni kijana wa kiume. Katika uchakarikaji wangu nimejikusanyia tsh laki tatu na nusu. Natamani niiwekeze kwenye shughuli itakayoniwezesha kusogea mbele ki mapato kuliko kuitapanya ovyo maana hela haiwekeki mfukoni.
Wajuzi wa JF, naombeni mwanga niiwekeze kwenye nini. Niko Kigamboni.
Karibuni sana kwa ushauri.
Fuata huu Ushauri. Pia unaweza kuuza na juice ya miwa.. Mimi ninajua ina faida SanaFanya biashara YA matunda mchanganyiko kwa mtaji huo.
Tukikumata na puli moja LA bangi huchomoki Bila 250000Uza bangi
BADILI TABIAUza bangi
mkuu hapo kigamboni biashara ya mazao kama mchele,sembe na maharage,,vp mzunguko wake labda kama unafahamu,,,naatafuta flemu pande za kigamboni nifungue flameNatumai Rabuka anajaalia wana JF kudra kenyekenye.
Ndugu zangu,
Mimi ni kijana wa kiume. Katika uchakarikaji wangu nimejikusanyia tsh laki tatu na nusu. Natamani niiwekeze kwenye shughuli itakayoniwezesha kusogea mbele ki mapato kuliko kuitapanya ovyo maana hela haiwekeki mfukoni.
Wajuzi wa JF, naombeni mwanga niiwekeze kwenye nini. Niko Kigamboni.
Karibuni sana kwa ushauri.
Hawa ndo tunawaitaga mabarry,Uza bangi
Uza bangi
Ndio jf ya Sasa mkuu kwangu mimi sishangai. Wenye MICHANGO ya kushauri watu ni wachache wengi pia pumbahehehehehe nilitegemea jibu la ajabu mapema tu !
Nakilevi pia abadiliBADILI TABIA
Nashukuru mkuu kwa ushauriHata biashara ya mitumba inawezekana kwa kiwango hicho cha pesa halafu pia kama ulivyoshauriwa awali kuwa biashara ya matunda na juisi pia itafaa sana na inalipa lakini pia kwa biashara kama ya samaki ilikuwa poa kama ungekuwa na friji
Mkuu umenichoka humu jf?Uza bangi
Kampuni gani mkuu?Mimi nafanya biashara ya Mult level Marketing nilianza na mtaji wa laki 280 inanilipa nanaendelea vizuri kwa sasa. Nakushauri na wewe karibu laki tatu inaweza kuwa mtaji mkubwa sana kwa biashara hii. 0763797853 whatsap na live calls
muongo wabongo wengi wanapenda sifaEric Shigongo alianza na mtaji wa tshs 5000/= kwa kuuza karanga, mpaka hapa alipo leo. Maisha ni safari, hujachelewa ndugu.
Kila la kheri!
Njoo manyara ufanye biashara ya mahindi!Habari zenu team! Tuungane kunishauri ni biashara gani naweza kuanzisha kwa sh laki tatu 300,000/= na ikanilipa ndani ya muda mfupi... Ushauri ndugu zanguni..Ahsanteni
Epuka kabisa hii kitu, naifahamu a-z. Utapoteza muda mwingi sana na hela yako pia.juvute vute kidogo,upate kama laki nne ivi hlf tunakukaribisha FOREVER!
wengi wamefanikiwa kwenye hii biashara hasa wale wenye real enthusiasm.
Nakubaliana na ww ndugu, nimewahi kujiunga FOREVER LIVING PRODUCT nilijuta na kalaki nne kangu na nusu kakapotea,MMMMHH:angry: NYIE WATU WA FOREVER, GNLD,RIFARO, NEPSTAR N.K SIO WATU WA KUWAAMINI BIASHARA YENUU NI VERY HARD AND TOUGH SANA... INAHITAJI CONVINCING POWER YA KUTOSHA... MMENIPOTEZEA MUDA SANA PASI NA KUAMBULIA KITU....
reimah usiende kwa hawa watu wa multi level marketing utakuja jutia hapo baadae