Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Mimi nina milion 4 naweza fanya biashara gani ikanitoa? Naomba mchango wenye kujenga
 
Kwa sasa usiwaze sana kutoka, anza kuuliza una laki tano ufanye biashara gani uishi, ukifanikiwa hapo utawaza hayo ya kutoka. Kutoka kwa laki tano inahitaji muda sana.

Kwanza kutoka kwenda wapi?
 
Kwa sasa usiwaze sana kutoka, anza kuuliza una laki tano ufanye biashara gani uishi, ukifanikiwa hapo utawaza hayo ya kutoka. Kutoka kwa laki tano inahitaji muda sana.

Kwanza kutoka kwenda wapi?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Wapendwa JF
Nimepewa sh.100000 kwa ajili ya kuanzisha biashara niwez kujikim kimaisha.Nlikuwa naomba ushaur kuhusu biashara nnayowez kuanzisha kwa sasa.
 
Wapendwa JF
Nimepewa sh.100000 kwa ajili ya kuanzisha biashara niwez kujikim kimaisha.Nlikuwa naomba ushaur kuhusu biashara nnayowez kuanzisha kwa sasa.
ungesema uko wap? lakini pia kuna nyuzi zimetolewa ufafanuzi, ungezipitia.
 
mazingira ya Tanzania ni yaleyale , Nashauri anzishaa genge la vitu vya nyumbani kama nyanya, vitunguuu, limao n.k
 
Nina kipato ambacho kinaniwezesha kufanya saving ya Tsh 400000-500000 kwa mwezi

Ni mwaka sasa umepita tangu niwe na kipato hiki lakini naona kama mwaka unaisha ila sijafanya kitu cha maana zaidi ya kumlipia mdogo wangu ada na matumizi ya shule tu tena anasoma serikalini.

Ninapenda sana kuwekeza kwenye vitu ambavyo vitaweza ku generate flow of money ila tatizo kila nikiangalia niwekeze kwenye kitu gani kwa hapa nilipo (Dar) naona kama vile inahitaji mtaji mkubwa sana kwenye kuwekeza na pia usimamizi nao ni changamoto kwani mda mwingi niko kwa kazi.

Huwa nawazia kuwekeza kwenye biashara za kilimo/mazao au ufugaji. Nilipanga kuja kununua mifugo mwezi December/January ili baadae nije niwauze lakini kwa hali ya ukame iliyopo kijijini kwetu, mifugo wanakufa kwa kukosa malisho.

Sasa hao wa kwangu nikiwanunua ntawalisha nini? Imenibidi nisitishe kwanza hilo zoezi! Hela niliyokuwa nimeipata naona imeanza kupungua kama mjuavyo hela kuwa haitunziki na shida huwa hazibishi hodi hivyo nisije kuila ikaisha kabisa!

Naomba ushauri kwa wadau wenye experince na biashara mnisaidie ushauri wa namna ya kuwekeza kwenye biashara yeyote kwa kipato hicho.
 
Chagua wazo moja katika mawazo yako ya kibiashara ambalo kwa nafasi yako utaweza kulifanyia kwa kuangalia rasilima ulizonazo kama muda, uwezo, fedha, na vitu vingine....
Lifanyie wazo hilo utafiti kisha amua kwamba unata uanze mpango huo, kwa kuanza kununa vitu kidogo kidogo....
Ukifikia apo automatical utakua mbaili ili uweze kufikia lengo lango.....
 
Nitafute mp nikupe madini ya kutengeneza pesa zaid,
Kwenye saving, investment and consumption
 
Ahsante kwa ushauri wako mkuu
 
Reactions: Oxx
Kuwa makini na wanaokuita pm, tafadhari
 
Nadhan hapo ujaribu kuwa mbunifu. Angalia kiwango cha pesa ulichokuwa nacho na muda ulikuwa nao vinaendana? Pia kwenye chaguzi za biashara au mradi huwa tunaangalia fursa zilizopo au ulizoziona eneo husika. Siwez kukushauri ufuge kuku wakati kumbe mtaa unaokaa kuna watu zaidi ya 10 wanafuga kuku pia. Tafakari changamoto wanazopata wakazi wa hapo, Kama ni shida ya vipodozi, saloon ya kike, vifaa vya umeme, huduma za vinywaji, mbogamboga, matunda, nafaka au hata huduma za kiusafiri...
Baada ya kugundua changamoto ndipo unapokaa na kuitafutia suluhu, ww ukiitazama Kama fursa...
 
Tafuta biashara ya kufanya ambayo kila mwisho wa mwezi utakua unaweka hyo pesa humo kwa maana ya kununua mzigo,kwa mfano chukulia ukafungua duka la kurefil gas na kuuza vifaa vyake,ni vitu visivyooza na vina hakika ya kununuliwa,unakua na Gas point ambayo utaianzisha kama kwa Tsh 3,000,000/=tu hv.then kila mwezi unaendelea kuongeza hiyo laki tano yako kwa kuongeza mitungi ya gas na bidhaa zake.mpaka unakuja kutoka kazini au baada ya miaka 7-10 hv utakua si Gas point tena.utakua ni super dialer mwenye magari ya kusambazia mzigo na mitungi ya gas ya kutosha.jaribu ila fanya kitu unachojisikia unapenda na unaweza,na si kwa kufata mkumbo.
HIS IMPERIAL MAJESTY EMPEROR HAILE SELLASIE I.
JAH BLESS YOU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…