kilamuruzi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,232
- 1,075
Mimi nina milion 4 naweza fanya biashara gani ikanitoa? Naomba mchango wenye kujenga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nna mtaji Wa laki tano sasa naomba ushauri nifanye biashara gani itakayonilipa, nitashukuru Kwa mchango wako
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwa sasa usiwaze sana kutoka, anza kuuliza una laki tano ufanye biashara gani uishi, ukifanikiwa hapo utawaza hayo ya kutoka. Kutoka kwa laki tano inahitaji muda sana.
Kwanza kutoka kwenda wapi?
ungesema uko wap? lakini pia kuna nyuzi zimetolewa ufafanuzi, ungezipitia.Wapendwa JF
Nimepewa sh.100000 kwa ajili ya kuanzisha biashara niwez kujikim kimaisha.Nlikuwa naomba ushaur kuhusu biashara nnayowez kuanzisha kwa sasa.
Ahsante kwa ushauri wako mkuuChagua wazo moja katika mawazo yako ya kibiashara ambalo kwa nafasi yako utaweza kulifanyia kwa kuangalia rasilima ulizonazo kama muda, uwezo, fedha, na vitu vingine....
Lifanyie wazo hilo utafiti kisha amua kwamba unata uanze mpango huo, kwa kuanza kununa vitu kidogo kidogo....
Ukifikia apo automatical utakua mbaili ili uweze kufikia lengo lango.....
Kuwa makini huko, shauri lako.Mkuu njoo pm unipe namba yako nikuunge group la ujasiliamali huenda ukaokoteza mawili matatu
Kuwa makini na wanaokuita pm, tafadhariNina kipato ambacho kinaniwesha kufanya saving ya Tsh 400000-500000 kwa mwezi
Ni mwaka sasa umepita tangu niwe na kipato hiki lakini naona kama mwaka unaisha ila sijafanya kitu cha maana zaidi ya kumlipia mdogo wangu ada na matumizi ya shule tu tena anasoma serikalini.
Ninapenda sana kuwekeza kwenye vitu ambavyo vitaweza ku generate flow of money ila tatizo kila nikiangalia niwekeze kwenye kitu gani kwa hapa nilipo (Dar) naona kama vile inahitaji mtaji mkubwa sana kwenye kuwekeza na pia usimamizi nao ni changamoto kwani mda mwingi niko kwa kazi.
Huwa nawazia kuwekeza kwenye biashara za kilimo/mazao au ufugaji. Nilipanga kuja kununua mifugo mwezi December/January ili baadae nije niwauze lakini kwa hali ya ukame iliyopo kijijini kwetu, mifugo wanakufa kwa kukosa malisho.
Sasa hao wa kwangu nikiwanunua ntawalisha nini? Imenibidi nisitishe kwanza hilo zoezi! Hela niliyokuwa nimeipata naona imeanza kupungua kama mjuavyo hela kuwa haitunziki na shida huwa hazibishi hodi hivyo nisije kuila ikaisha kabisa!
Naomba ushauri kwa wadau wenye experince na biashara mnisaidie ushauri wa namna ya kuwekeza kwenye biashara yeyote kwa kipato hicho.
NotedKuwa makini na wanaokuita pm, tafadhari
Ni wezi ama nini?Kuwa makini na wanaokuita pm, tafadhari