Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Uko mji gani?

Kama upo Dar, nakushauri fanya fresh juice ya matunda. Ni kuliko kuwa na daladala na pesa zako ulizonazo ni mtaji tosha kabisa.

Mradi uwe msafi na juice yako iwe safi na vifaa vyako viwe visafi, kama unataka ushauri wa kutengeneza juice safi, muombe ushauri farkhina wa JF.

Nakutakia ufumbuzi mwema, vijana kama wewe mnatutia moyo wazee, si wale wanaoingia humu kulalamika tu.

Mkuu, kumbe una akili timamu ila basi tuu mda mwingine unajifanya kama hauna.
 
mkuu hivyo viatu unavinunua wapi na kwa pesa ngapi na unaenda kuuza wapi??

Bymwachalika:
Mimi nina balo za viatu vya kike na kiume. Nimeenda kuchagua mwenyewe china, mzigo uko poa sana. 25kg kila bag moja na bei ya ni 130,000 kwa ladies flat shoes and 250,000 kwa men canvas shoes. Viatu hivi ni kama vipya kabisa na mzigo upon Tanga na container nyingine natoa Dar wiki hii. Nitafute tufanye biashara. 0715603603
 
Siku zote ukianza na capital hufanikiwi..inatakiwa uanze na idea.. Hizo hela peleka kwene fixed account aisee na ufanye kitu kingine.
 
Bymwachalika:
Mimi nina balo za viatu vya kike na kiume. Nimeenda kuchagua mwenyewe china, mzigo uko poa sana. 25kg kila bag moja na bei ya ni 130,000 kwa ladies flat shoes and 250,000 kwa men canvas shoes. Viatu hivi ni kama vipya kabisa na mzigo upon Tanga na container nyingine natoa Dar wiki hii. Nitafute tufanye biashara. 0715603603

Uzur wa JF ndio huu banah…!! Ahsante mkuu nami umenionyesha njia……
 
bymwachalika:
Mimi nina balo za viatu vya kike na kiume. Nimeenda kuchagua mwenyewe china, mzigo uko poa sana. 25kg kila bag moja na bei ya ni 130,000 kwa ladies flat shoes and 250,000 kwa men canvas shoes. Viatu hivi ni kama vipya kabisa na mzigo upon tanga na container nyingine natoa dar wiki hii. Nitafute tufanye biashara. 0715603603

mkuu nitakutafuta
 
Bymwachalika:
Mimi nina balo za viatu vya kike na kiume. Nimeenda kuchagua mwenyewe china, mzigo uko poa sana. 25kg kila bag moja na bei ya ni 130,000 kwa ladies flat shoes and 250,000 kwa men canvas shoes. Viatu hivi ni kama vipya kabisa na mzigo upon Tanga na container nyingine natoa Dar wiki hii. Nitafute tufanye biashara. 0715603603

Mkuu ntakutafuta.na mimi nipo interested!
 
Kijana kuna uzi nimeuweka unahusu biashara ya viatu vya mtumba vya kike na kiume kutoka jamhuri ya korea

viatu tunauza kwa bero na vinakuwa mchangayiko kama vile open shoes simple viatu vya mpira boot vya ofisi raba n.k

bei zetu ni kama ifuatavyo.

vya wanaume sh. 220000 kwa bero moja na inapungua kutegemeana na idadi ya bero za mteja

vya kike 130,000 na inapungua kulingana na idadi ya bero anazochukua mteja

NB. bero moja la viatu vya kiume lina wastani wa viatu pair 55 hadi 60 Kwa kawaida 60
vya kike pair 80 hadi 90

PIGA SIMU NAMBA 0758176058 kwa maelezo zaidi na jinsi ya kuweka oda ya mzigo. Pia inapatikana kwa watsap

Viatu ni vya ubora wa hali ya juu na vinaenda na wakati na vingi vinakuja vikiwa kama vipya kwa maana havijatumika sana

TUNAPATIKANA CHANG'OMBE DAR.

KARIBU SANA NA HUWEZI JUTA......
 
Mhh!!!!
 
Hii iko poa sana aseh....
 
Back
Top Bottom