Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Inakera....
Ukisema biashara hii ooh hiyo usijaribu, ukisema una mtaji huu ooh hautoshi ilmradi tu kukuvunja moyo!!!
Mimi hufanya hivi:-
1.Natengeneza wazo la biashara husika
2.Naandaa mpango wa biashara (Bus.plan)
3.Nafanya utafiti wa soko la biashara yangu
4.Natafuta kimtaji kidogo cha kuanzia,,, maana ukisubiri uwe na mtaji mkubwa unazidi kujijengea hofu ya kupoteza pesa zako nyingi unazotaka kuwekeza
 
Nipo Mwanza nina mtaji wa laki tano Tshs. 500,000/= ninataka kufuata nguo za kike za special Kampala,Uganda nilete Mwanza kuuza, kwa wale wazoefu naombeni ushauri naweza kutoboa kwa huo mtaji? Ni ushauri gani unanipa.
Mkuu biashara hiyo inaweza kukutoa au kukukata, chamsingi ni jinsi utakavyoifanya iwe uniq
 
Natamani siku nieleze jinsi ninavyofanya shughuli zangu hapa, maana waliowengi mnadhani biashara lazima uwe na frem au usafiri
 
Inasikitisha sana kuona watanzania wengi hawapo tayari kutake risk,, hawatoi ushauri mzuri kwa vitu vya maendeleo and they are always hoping for the worse to happen!!!
Ili ufanikiwe ni lazma uwe risk taker.....ukiomba sana ushauri kwa bnadam wa sasa hautokaa uanzishe biashara yeyote!!!
Mkuu, we uskilize moyo wako tu,, Kumbe kuwa safari ndeefu huanzishwa na hatua moja tu
Nilishaombaga ushauri wa biashara ya nguo kwa mtu aliekua ni wa makamo kdg japo yeye hali yake ni mbaya kdg

Yule jamaa aliniambia kabisa kua hiyo biashara unavyotaka kuifanya ni lazima ikukate tu cha msingi we anza na mtaji mdogo tena nusu ya hiyo uliyonayo then ufanye biashara flani me nikampuuza tena alirudia Mara mbili mbili kabisa na kesho yake akarudi nikamuona labda yeye kwasababu hana life zuri kwahyo ushauri wake ni bure


Nikajikita kwenye biashara hiyo hiyo ya nguo tRNA nilikua nachukua ma belo nauza aisee haikuchukua muda biashara ikanikata mtaji wangu nikawa na ronya elfu kidgo afu imenirudishia robo tatu ya mtaji wangu

Nilikosa pozi kabisa

Ushauri ni mzuri tena angalia ni wangapi wanakusapot
 
Habari wadau wa JF,

Nipeni ushauri maana vyuma vimekaza mtaani.

Nina laki 3 nataka kufanya biashara ambayo kwa mwezi itakuwa na return ya million moja. Nipo Morogoro kwa sasa ila nafanya biashara popote.
 
Back
Top Bottom