Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kiongozi samahani, mimi nataka kujua gharama za ushuru zikoje?
Unapoenda kutoa mzgo kuna process unafata ..kwanza utaenda maliasili uliposajiliwa itategemea unatoa mzgo wa ukubwa wko then utalipia ....na huko kijijin unakotoa mzgo utalipia pia
 
So hio hela nloelezea hapo juu imejumuisha kila kitu ....ukitoa kuushusa mzgo wako ukifka
Unapoenda kutoa mzgo kuna process unafata ..kwanza utaenda maliasili uliposajiliwa itategemea unatoa mzgo wa ukubwa wko then utalipia ....na huko kijijin unakotoa mzgo utalipia pia
 
Mie ni mwanafunzi but niliomba msaada kuhusu kusaidiwa nianzishe biashara ipi kwa mtaji Wa laki moja kwakua naitaji kufanya biashara huku bado naendelea na masomo naombeni mnipe ujuzi jamani
 
Ongeza at list ifike lak tatu then unaenda nunua Mihogo kwa wakulima ya lak na nusu then unaenda sokon iwe bgurun au WAP ...utachagua uuze mwenyew au uwape madalali ....n bsness n nzur unaweza ifanya ht jmos au jpili
 
Mie ni mwanafunzi but niliomba msaada kuhusu kusaidiwa nianzishe biashara ipi kwa mtaji Wa laki moja kwakua naitaji kufanya biashara huku bado naendelea na masomo naombeni mnipe ujuzi jamani
Ikikua unaongeza pesa na mtaj unajua na faida pia n bsness nzur sana
 
Wakuu,

Kwa wale wenye uelewa wa biashara za kukupa tija maana kwa sasa hali halisi kwa pesa ngumu tusaidiane kwa wale wenye nia ya kuanzisha biashara kwa sasa nawasilisha. Nb; mtaji wa laki 4-5
I'm just looking for serious people who are willing to invest for long term.... Biashara sio kuuza na kununua.. Biashara ni system inayotengenezwa na kutengeneza pesa 24/7..email me at mulungustephano@gmail.com or Skype me at +255767549752.
 
Biashara ya kuni imekuwa mkombozi kwa watu weng ...japo watu weng bdo hawajaifahamu ...fikiria kwa mtaj wa milion mbili ...faida n hio milion mbili ndan ya wiki tatu au kabla ya hapo unaipata .....

Advantage ya bsness hii haiharbk na kuathirika kwa chochote ..........tafta watu weny usajili ka mm wakuletee mzgo then uone maisha yko yatakavobadlka ..mung akipenda

Mkuu naomba nkuchek pm nmepata kibali cha kuni na mkaa kwa favour tu ila biashara cjaijua vzr
 
Ngoja nitoe kaushuhuda kadogo.
Nakumbuka mwaka 2013. Kaka yangu alinifata home akaniambia mdogo wangu nina shida ya pesa ya mtaji.
Nilishangaa sana nikamwambia mimi sina pesa ya Mteja kaka.Akaniambia nina wazo la biashara mtaji wake ni sh 50,000/= Nipe leo ndani ya siku 3 nitakurudishia sh 60000/=.Niwe mkweli mimi ni muislam nikamwambia hiyo riba, nilipe sh 50,000/-= kama unanipa sh 60,000/= unanipa kama mdogo wako. Pia nikampa sharti hii pesa nimeiweka niongeze , kwa ajil ya kulipa kodi akaniambia usijali wazo langu nimelifanyia kautafiti.

Basi nikampa ile pesa. Jamaa ajafanya ajizi kaenda kufanya michakato ndani ya siku 3 akanilipa ile pesa na +10,000/=

Toka mwaka 2013 hadi leo jamaa amebadil maisha yake.
Mwaka 2015 mwezi january kanifata home kipindi iko nimekaa mtaani sina kazi nimemaliza chuo ( 2013).AKaniambia mdogo wangu kuna milion 3 kama unawazo la biashara njoo uchukue ufanye utarudisha kidokidogo.
Nikawa natafuta wazo la biashara ili nisipoteza pesa za bro.milion 3 kubwa sana nisikurupuke nitaipoteza.Mungu mkubwa ndani ya muda huu nikapata kazi.nikamwambia kaka ebu ngoja nikapambane na jasho langu.Yeye sasa ana nyumba ,nimesema nyumba ya maana usifikiria kajumba na ana biashara imara hata mimi namuogopa

KWA NINI NIMESIMULIA HILI JAMBO.
  • Unapotaka kuanza biashara usiwaze kuwa na mtaji mkubwa ndio utafanikiwa
  • Wazo la biashara ni jambo kubwa sana linakufanya uwe huru kuendesha biashara husika
  • Utayari na kujitoa huleta mafanikio makubwa sana
  • Tuwe wavumilivu na uaminfu ktk biashara
Ni hayo tu.
JF ni mahali salama kupita mitandao yote ya kijamii Tz.Mungu ibariki /wabariki JF, Uongozi wa JF na wajumbe wa JF.
 
  • Unapotaka kuanza biashara uniwaze kuwa na mtaji mkubwa ndio utafanikiwa
  • Wazo la biashara ni jambo kubwa sana linakufanya uwe huru kuendesha biashara husika
  • Utayari na kujitoa huleta mafanikio makubwa sana
  • Tuwe wavumilivu na uaminfu ktk biashara
Ni hayo tu.
JF ni mahali salama kupita mitandao yote ya kijamii Tz.Mungu ibariki /wabariki JF, Uongozi wa JF na wajumbe wa JF.

Amen [emoji120]
 
Hiyo 50000 alifanyia Biashara gani akarudisha 60000?
 
Back
Top Bottom