Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

nakushauri nunua mihogo halafu ikaange utengeneze na kachumbari tafuta sehemu nzuri ya kuuzia kwenye makutano ya njia au kwenye watu wengi mihogo ya elfu moja inatoa elfu tano
 
Bonge la idea hili.. work on it plse..
 
Kama upo Dodoma hivyo ni fursa kuwa Dodoma nakupa idea [emoji362] [emoji362] moja ambayo hutopata tena

Dodoma kuna chuo kikwubwa kinaitwa Udom sasa chakufanya tengeneza Karanga za mayai then utembeze chuoni apo college adi college, block adi block, room adi room, we akikisha unatengeneza Karanga sichini ya miatano (500) hivyo ukiuza Karanga moja kwa miatano jumla zote utapata 250000

NB: minimtumiaji wa karanga izo sana hivyo sehemu nazonunuaga zinaishaga fasta tu wakireta zinaisha tena fasta kwaiyo soko lipo kingine nilimuhoji Dada mmoja hivi ambaye anauza hizi bidhaa alinambia kwamba yeye anauzauza college moja tu anayosoma hivyo kwasiku anaweza pata ata elfukumi nahuyu dada ajaifanya hii kazi serious kwasabu sijawai muona akipitisha room napoishi mimi hii inamaana ukifanya serious hii shunguri ndani ya mda mchache utapata mtaji wa kutosha wakufanya bossiness zingine kubwa
daah hili wazo nmeliewa ngoja nilifanyie kaz
 
TENGENEZA FAIDA KUBWA KWA KUWEKEZA NA BITCLUB ADVANTAGE*
BITCLUB ADVANTAGE

*IFAHAMU BITCLUB ADVANTAGE*

HII ni kampuni ya kimataifa inayofanya biashara ya ubadilishaji wa fedha dijitali (crypto currencies exchange)

Imelenga katika kutumia teknolojia maalumu inayowawezesha kupata faida kubwa na kugawana faida hiyo na wajasiriamali waliowekeza mitaji yao katika kampuni kwa muda wa wiki 52. Mwekezaji ataweza kutengeneza faida hadi 300% ya uwekezaji wake.

*Tofauti ya Bitclub Advantage na kampuni nyinginezo ni:*

[emoji67]‍[emoji264]Hakuna bidhaa za kutembeza au kuuza ndio ulipwe

[emoji51]Hakuna malipo ya kianzio (starter pack) bali pesa yote unayowekeza ni sehemu ya mtaji wako

[emoji39] Makato ya kila mwezi (monthly fee) ni chini ya 2.6% ya kifurushi chako

[emoji39]Vifurushi 7 vyenye gharama kuanzia $25 hadi $1999 hivyo kila mtu anaweza kuingia.

Kiwango cha chini cha kutoa (minimum withdraw) ni kuanzia $10 hadi $300 kulingana na ukubwa wa kifurushi.

[emoji651]Hakuna kiwango cha mwisho cha juu (maxmum withdraw) cha kutoa fedha zako.
Kushirikisha wengine ni hiari yako

[emoji536]Huhitaji kufungua ofisi au kuacha kazi yako ya sasa.

Ili kuanza uwekezaji wako chagua kati ya vifurushi vifuatavyo:

(malipo yanayoonyeshwa ni bila kumshirikisha yeyote, iwapo utashirikisha wengine (networking) utalipwa bonus nyingi sana)

*PACKAGES Pamoja na MALIPO YAKE* (bei zilizoonyeshwa ni pamoja na transfer charges na pia zinaweza kubadilika kutokana na thamani ya $ kwa wakati husika)
jisajili kupitia link hii Register :: Admin
1. *CLIENT PARTNER* :: 30$ (67,500tshs)
UNALIPWA $1.4 (3150Tshs) KILA WEEK,
$6.16)13,860Tshs KWA MWEZI

2. *CLIENT BASIC* : 55$ (123,750tshs)UNALIPWA $2.8(6,300tshs)/KILA WIKI,
$12.32(27,720tshs)/KWA MWEZI

3. *CLIENT BRONZE* :110$ (247,500tshs) UNALIPWA $6.75 (15,180tsh)/KWA WIKI,
, $29.7(67,000Tsh)/ KWA MWEZI.

4. *CLIENT SILVER* :270$ (607,500tshs) UNALIPWA $16.93(38,100tshs)/ KWA WIKI, $74.5(167,630tshs)/ KWA MWEZI

5. *CLIENT GOLD* :550$ (1,237,500tshs) UNALIPWA KWA WIKI $33.93(76,340 tshs) UNALIPWA
$149.3 (336,000tsh)/ KWA MWEZI

6. *CLIENT PREMIUM* :1060$ (2,385,000tshs)
UNALIPWA, $67.93(152,800tshs) /KWA WIKI , $298.9 (672,500tsh) KWA MWEZI

7. *CLIENT BLACK*: 2060$ (4,635,000tshs) UNALIPWA, $153.92(346,300tshs)/ KWA WIKI, $677.26(1,501,000tshs)/KWA MWEZI

NB:1 usd = 2,250tshs

MALIPO HAYO UTALIPWA HATA BILA KUMSHIRIKISHA MTU YEYOTE. UKIMSHIRIKISHA MTU HAPO NDO Unapata FAIDA ZAIDI MAANA KUNA *AINA 5 ZA BONUS* ZITAKAZOKUHAKIKISHIA KIPATO KIKUBWA SANA AMBACHO HUJAWAHI KUWAZIA (amini usiamini Ingia huku utajionea)

KARIBU TUKUZE KIPATO NA Tutengeneze faida maradufu kwa BIASHARA HII YA KARNE YA 21 YA CRYPTOCURRENCY TRADING KUPITIA KAMPUNI YA BITCLUB ADVANTAGE.

Kumbuka, Mkataba na bitclubadvantage ni wa mwaka mmoja (52weeks)kwa kila kifurushi utachokinunua

Pakua PDF PRESENTATION hapa[emoji116]
https://hope4.bitclubadvantage.com/downloads/bitclub_2017_en.pdf

Usipitwe na fursa hii.. Njoo mapema

•Isome vizuri fursa hii, ukiipenda njoo inbox nikusajili

•Kila unayemwingiza unapata 15% ya alichowekeza.
[emoji387][emoji385][emoji387][emoji385][emoji387]
Tajirika fasta na bitclub

Hakika itapendeza ukiwekeza kwe Bitclubadvantage!!!!!

Link ya kujisajili Register :: Admin

BITCLUB ADVANTAGE

∆Furusa hii si ya kukosa /kuacha!!!
 
Kwani wewe hauna ndugu au wapendwa wako?unapenda wawe matajiri?anza na hao kwanza.[emoji124][emoji124][emoji124]
 
Habari na pole kwa kuchukua muda wenu. Kwa ufupi hali ya maisha ni ngumu sana si kwa waajiriwa wala waliojiajiri, na hii yote kila mtu atakupa sababu zake why this?

Nirejee kwenye mada husika, nimewazaaa nikaumiza kichwa mno, nikawaza tena lakini bado, akili yangu inaamini kabisa majibu yako hapa jukwaani.

Nimejaribu kufanya kautafiti kadogo nikaona biashara ya kamtaji kadogo inalipa kuliko kuinvest a huge amount of money while there is a lot of vikorokoro like kodi(Napenda kulipa kodi kwa maendeleo ya nchi yangu)...., pango la biashara..., etc, etc but kamtaji kadogo hakana ma-expensivity yote hayo. Shida yangu: Je sasa ni biashara gani ambayo naweza kuipoint kwa kiasi hicho cha pesa( pesa ni pesa tu hata kama iwe mia2), ambayo naweza nikaiestablish na kuimenej haraka bila kusahau kuwa itanipatia kafaida hata kadogo/siku kwa Dar es salaam. Hata ya kutembeza mtaani, siyo mbaya coz am a gentleman i know how hustling is.

Caution:
Sina uzoefu was biashara kiviile.
NAWASILISHA!!!!!!
 
Choma kuku wa vipande wale tafuta sehem yenye masista duu uwapige
 
Hivi ile biashara ya kukodisha CD mitaani huwa inagharimu kiasi gani?
Mtaji mkubwa utatumia kwenye kodi ya fremu... Mana mm mwenyewe nipo njiani kuifungua hiyo kuna jamaa amenambia ata niuzia cd kwa bei ya jumla sh 1000 kwa kuanzia nita anza na cd 30 mambo mengine yata jiseti mbele kwa mbele
 
Habari zenu wana biashara,

Ni biashara ipi inaweza kufanyika vizuri kwa mtaji wa laki 2 na kukuza mtaji?

Ahsante.
 
Back
Top Bottom