Fanya mojawapo ya:
1. Ingia tovuti ya benki kuu au
2. Kama utaelewa nitajieleza, ni hivi:
1.Fungua akaunti mbili, moja ya kawaida/akiba na nyingine ya T-Bills (baada ya kupata maelezo ya mawakala wa BoT ambao ni kama NMB,CRDB n.k. au nenda DSE) 3. Weka hela yako kwenye akaunti ya kawaida/akiba isipungue 500,000/-, subiri tangazo la mnada 4. Serikali (kupitia BoT) ikishatangaza kuuza bills zake (huwa ni online), wewe bid (yaani tangaza kuwa utanunua kwa kiasi fulani mf. 95/-) maana yake bill ile kwa kila 100/- utainunua kwa 95/-. Subiri kwa siku kadhaa ulizo 'bidia', say siku 35. Ukishinda huo mnada utajulishwa immediately na mzigo unaingia kwenye akaunti yako ya kawaida. Utakuwa umepata faida ya 5/-.Ukishindwa mnada huo unasubiri mwingine, unaendelea. Fedha yako 500,000/- ipo SALAMA. Ndivyo wanavyofanya wale jamaa wanaojua sana hesabu na biashara, wale wenye biashara zinazoendelea hata kama mmiliki anakufa,zinaendelea kwa sababu wanafanya kitu kinaitwa succession plan.