Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
SafiDau limeongezeka!!
Kama utani imefika 200K
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SafiDau limeongezeka!!
Kama utani imefika 200K
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Umenikumbusha mbali sana na issue ya chapati.nilijaribu kujifanya nataka nipike l.ebwana eeh ikatoka kama zile nani(yale machapati ya kuvunjika.Ngumu hiv.Pika vitafunio ila viwe vizuri Kama chapati iwe mnyambuko na laini haswaa kwa Dar hii biashara inalipa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukipigwa nalo shavuna lazima shavu litoboke [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Umenikumbusha mbali sana na issue ya chapati.nilijaribu kujifanya nataka nipike l.ebwana eeh ikatoka kama zile nani(yale machapati ya kuvunjika.Ngumu hiv.
Si mchezo,mkuu wewe zione tuu hizo chapati mnyambuko siyo kitu rahisi kufanya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukipigwa nalo shavuna lazima shavu litoboke [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ni balaa sasa uwe nawageni tena wajua kama una andaa chapati!Si mchezo,mkuu wewe zione tuu hizo chapati mnyambuko siyo kitu rahisi kufanya
Mimi ni shahidi wa haya ninayozungumza.Acha kudanganya watu ...faida ya 25,000......
Mnaandika tu huku kufurahisha umma si ndio
Tuma picha BadooNajua watanibeza sanaa ....lakini hio pesa yako haiwezi kukupa faida ya 20,000 kwa siku......
Yaani mtaji wa 200,000. Upate faida ya 20,000 Kwa siku unaota wewe sio bure kama hivyo watu wasingekuwa masikini ...
Mtu wa boda boda karisk 2,500,000 na anapata faida 10k Kwa siku ...
Mtu wa bajaji kanunua 7million Ndio anapata faida ya 20k kwa siku....
Harafu unakuja na mtaji wako wa 200k et upate faida ya 20k kwa siku[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Maisha sio rahisi kiasi hicho ....
Utajua hujuiNdo nini mkuu!!?
River side maeneo ya stendi ya kwenda mbagala,hiyo laki mbili ana nunua maziwa hapo anaenda kuuza mtaani kama ana wateja wengi ishirini anafikisha kama faida,sisi tulikuwa tunatoa hapo River side tunauzia mbagala vichochoroni faida ina fika 10 kwa siku.Mimi ni shahidi wa haya ninayozungumza.
Nilianza na mtaji wa 50 kwa siku nilikiwa naweka zaido ya elfu 8.
Uuzaji wa maziwa fresh. Nadamkia maeneo riverside nanunua maziwa kwa 1200 nauza kwa 1900.
Nilianza na lita 15 nkafika mpaka 40.
So inawezekana.
Biashara mwisho saa 4 asubuhi.
Inawezekana hata zaidi ya hio usikariri.Najua watanibeza sanaa ....lakini hio pesa yako haiwezi kukupa faida ya 20,000 kwa siku......
Yaani mtaji wa 200,000. Upate faida ya 20,000 Kwa siku unaota wewe sio bure kama hivyo watu wasingekuwa masikini ...
Mtu wa boda boda karisk 2,500,000 na anapata faida 10k Kwa siku ...
Mtu wa bajaji kanunua 7million Ndio anapata faida ya 20k kwa siku....
Harafu unakuja na mtaji wako wa 200k et upate faida ya 20k kwa siku[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Maisha sio rahisi kiasi hicho ....
Yes yes. Mkuu hela ipo ila ukijituma na ukubqli hasara mwanzoniRiver side maeneo ya stendi ya kwenda mbagala,hiyo laki mbili ana nunua maziwa hapo anaenda kuuza mtaani kama ana wateja wengi ishirini anafikisha kama faida,sisi tulikuwa tunatoa hapo River side tunauzia mbagala vichochoroni faida ina fika 10 kwa siku.
Usidhubutu Forex utanikumbuka 🚶🚶🚶🚶Ndo nini mkuu!!?