Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwani unataka kufanya nini na huo mtaji unautumia kufanyaje...,

Kununua Bidhaa ? (Unaweza kupata bidhaa kwa mali kauli)
Premises / Kodi ? (Inategemea location na unafanya nini huenda husiitaji pango)
Service ? (hii unaweza ukawa na billion moja na usifanikiwe na ukawa hauna kitu ukafanikiwa as inategemea skills yako na wahitaji wa hio Skill)

Moral of the above points..., Inategemea na wewe mwenyewe na anachoweza fulani au kushindwa fulani haimaanishi wewe utaweza au kushindwa (mtaji mkubwa ni wewe mwenyewe)...
 
tafuta chimbo la kitimoto ama nyama choma za mapande mapande tafuta eneo kama mwenge, mbezi mwisho hivi ama tegeta stand kule uza mapande ya buku tatu tatu nyma kg 10 ni 80,000 weka na jiko kubw a60,000 meza na sahani kama 50 hapo akili kumkichwa
 
Inawezekana hata zaidi ya hio usikariri.
Kwani mama uji anaingiza bei gani kwa siku.
Vipi akiifungulia vijiwe vya kuuza uji,na vitafunio mbona hata huo mtaji wa laki2 still bado ni Mkubwa.
Akiweza uza vikombe 100 kwa siku asubui vikombe 50,jioni vikombe 50 kwa siku anapita hio 20 kwa siku.
Location kariakoo, magufuli stand, makumbusho stand, pugu mnadani, Buguruni sokoni, Ilala sokoni, soko la karume, ferry kivukoni, kigamboni fery,
Utajiri ni kutupa aibu pembeni.
Unaongea rahisi sana kuuza vikombe 100 sio mterezo kama unavyofikiria
 
Fungua kijiwe cha kahawa utauza asubuh na jion kila siku faida ni 40,000 maji dumu 2 za lita 20, kahawa ya elf 5, kashata za elf 5, mkaa elf 5 , vikombe elf 20, jiko la elf 5, sukar ya elf 10 na malimao ya buku
40, 000!!! Kahawa!!
Mmh!! Nieleweshe mkuu hiyo faida ya 40, 000 inakuja vipi!!!
 
Sio rahisi kama unavyofikiria, ukiona mtu ana mtaji wa 50k na anauza na kupata faida 20k usifikiri alipoanza tu alianza na hizo faida.

Kwanza acha nikwambie ukweli mchungu, (hutofanikiwa unachokitaka hata ukipata wazo hapa kwenye hii thread yako)

KWANINI?

Umetanguliza faida mbele, biashara haianzwi kwa kuangalia faida kwnza,ukumbuke unapoanza biashara kuna kufeli kwingi kuliko kufaulu,sio rahisi ukaanza biashara leo na leo leo ukaanza kurudi home na 20k ah weeeeee Subutuuuuu...

Jipe muda,kubali matokeo yoyote yaliyo mbele yako, ukiweza kukubali kuwa unaweza kuanza biashara na ukafeli, Hapo ndio mwanzo wa kufanikiwa kwako.

Kwasasa badilisha hiyo mindset ya faida kwanza, Biashara sio rahisi kiasi hicho Tunapeanaga moyo ila usifkr n rahisi namna hiyo Boss
 
FUGA BROILER mwenyewe!
Wakishakuakua unaanza KUWAKAANGA eneo la stand unaweka na tundizi uchwara zile za mabibo za 50 50! Usisahau na tupilipili[emoji39]! Kuku mmoja unapata faida ya 3000 hapo minus operational costs! Ukiuza kuku 7 kwa siku una faida ya 21k!
Ukianza hii biashara nishtue nitakuja kukuungisha
 
FUGA BROILER mwenyewe!
Wakishakuakua unaanza KUWAKAANGA eneo la stand unaweka na tundizi uchwara zile za mabibo za 50 50! Usisahau na tupilipili[emoji39]! Kuku mmoja unapata faida ya 3000 hapo minus operational costs! Ukiuza kuku 7 kwa siku una faida ya 21k!
Ukianza hii biashara nishtue nitakuja kukuungisha
Kama hujawahi fanya biashara kaa kimya we jamaa
 
Uza Nguo,
Mtumba au dukani?
Tshirt haswa.
Nenda hata kkoo. Ukiweza kuuza tshirt tano tu kwa siku, 25,000 unayo.
Tshirt zinaanza 8000 mpaka 10,000 kali kabisa.
200,000 unapata 20,
Zungusha utakuja nishukuru, na hii sio stry ya gazeti, kanunue tano tu kwa elfu hamsini uone.
 
Habari za mida hii wana JF,
Naomba kuuliza, kwa mtaji wa Tsh 200, 000 naweza kuanzisha biashara gani hapa Dar itakayoniwezesha kutengeneza faida ya Tsh 20, 000 kwa siku!!
Msaada wenu tafadhari!!
Watakudanganya tu aisee hii ni pesa ya bia mdogo wangu pambana uwe na mtaji japo milioni 20 tunza hiyo akina kwanza.
 
Nunua chupa za maziwa za kutosha

Na vikombe

Tafuta chimbo la maziwa fresh

Unachemsha pamoja na chai ya viungo

Unaajiri vijana or wadada wanasambaza mpaka saa nne 20,000 utakuwa nayo.
20,000 faida baada ya kuwalipa vijana? Vijana wanalipwa sh ngapi?
 
Back
Top Bottom