Moo Click
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,495
- 3,236
Mtafute somebody CONTROLA soma nyuzi zakeHabari za mida hii wana JF,
Naomba kuuliza, kwa mtaji wa Tsh 200, 000 naweza kuanzisha biashara gani hapa Dar itakayoniwezesha kutengeneza faida ya Tsh 20, 000 kwa siku!!
Msaada wenu tafadhari!!