Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

If huna inshu ya kufanya

1. Anzisha Kanteen ya Kawaida au tafuta mama ntilie muingie ubia

2. Uuzaji wa Matunda pia unalipa
 
kama bado ntafute nkupe idea ni pm

mmmmh,either anamuibia au anataka akopeshwe, kwani usimwage madini yako hapa jukwaani watu wayajadili!!!:mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2:
 
Ndugu zangu naomba mnisaidie nina laki tano na sina ishu nyingie yoyote nategemea hii ela niliyopata ndio nifanyie biashara, lakini sina idea ebu nisaidieni ni biashara gani nifanye kwa mtaji huu

inamaana mnashindwa kunipa wazo kweli siamini kama wote tuna akili mgando kama zangu, am sereus please
 
Ngoja nikwambie binamu yako. Kama upo kwenu na kuna chumba kikubwa. Nunua kuku wa kienyenyi hata wa laki 2.50 ufuge. Hyo nyingine tumia kwa chakula na madawa ya kuku huku ukfanya maarifa ya kupata hela kdogo kwa ajili ya menyu ya hao viumbe.
 
Back
Top Bottom