Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Mbona watu hamko stiff kiushauli? mwenzetu ameomba ushaur wengne wanajibu kejeri.
 
Polen na majukumu! ni mschana mwenye umri wa miaka 26..tangia nmalize Chuo 2011 cjabahatika kupata kazi.Nna mtaji Wa laki tatu jamani...nishaurini nifanye biashara gan?mm npo Tanga naona kumedorora kias flan...
 
Laki 3 hawezi fuga kuku, labda awe anajumua. Tena kuku wa kienyeji kama wana soko.

Let say kwa huko Tanga kuku awe 6000, atapata kuku 50, bado usafiri na malazi duh!
akija Dar atauza labda elfu 10. Swali atapata soko la jumla? Ni heri kuuza jumla kwa bei ndogo kuliko reja reja.

Kama huko wanaweza nunua madera kwa elfu 15, bora ukajumua madera kwa elfu 9, ukaenda uza huko. Baadae unajenga uteja na mtu mmoja anakuwa anakutumia mzigo tu na wewe unamtumia hela kwa m-pesa. Unaondoa gharama ya usafiri na usumbufu.
Fuga kuku uwe unawaleta dsm wanalipa sana!!
 
asante kongosho kwa ushauri naufanyia kazi!
 
Polen na majukumu! ni mschana mwenye umri wa miaka 26..tangia nmalize Chuo 2011 cjabahatika kupata kazi.Nna mtaji Wa laki tatu jamani...nishaurini nifanye biashara gan?mm npo Tanga naona kumedorora kias flan...

Fanya simple market survey ya eneo unaloishi na maeneo ya jirani kwamba ni biashara gani inatoka kirahisi na wengi wanaipenda mfano banda la chipsi au ukawa unachukua kuku wa kienyeji vijijini unaleta Tanga mjini.

Pia unaweza ukawa una supply samaki mikoani kama vile Morogoro au Dodoma kama una network sehemu hizo.
 
asante maubig
 
Tanga ni dead city kwa biashara lkn serikali inategemea kurudisha viwanda kwa hiyo in future utapata wateja wengi, tafuta mkaangaji mzuri wa nyama nyeupe na nyekundu tafuta kibanda bei rahisi au unaweza kuanzia nyumbani
 
Laki 3 hawezi fuga kuku, labda awe anajumua. Tena kuku wa kienyeji kama wana soko.

Let say kwa huko Tanga kuku awe 6000, atapata kuku 50, bado usafiri na malazi duh!
akija Dar atauza labda elfu 10. Swali atapata soko la jumla? Ni heri kuuza jumla kwa bei ndogo kuliko reja reja.

Kama huko wanaweza nunua madera kwa elfu 15, bora ukajumua madera kwa elfu 9, ukaenda uza huko. Baadae unajenga uteja na mtu mmoja anakuwa anakutumia mzigo tu na wewe unamtumia hela kwa m-pesa. Unaondoa gharama ya usafiri na usumbufu.

Afuge kuku wa kienyeji aanze na wachache ndani ya mwaka atakuwa mbali,au umesahau uzi wa GAZETI unataka kuwa tajiri?
 
Last edited by a moderator:
Polen na majukumu! ni mschana mwenye umri wa miaka 26..tangia nmalize Chuo 2011 cjabahatika kupata kazi.Nna mtaji Wa laki tatu jamani...nishaurini nifanye biashara gan?mm npo Tanga naona kumedorora kias flan...
Kama utaweza kuniamini msichana mwenzio tuwasiliane ili tuweze kufahamiana vizuri,niwe nakutumia mzigo wa madera kutoka Dar unauza huko Tanga..Najua madera yanapendwa sana huko, kuna kipindi nilikuwa nayaleta Muheza yaliuzika sana...0776880270..
 
Sawa atafuga kuku ila ikija ile ishu ya experience mika minne katika field husika na utoe contact za huko patachimbika tu bila jembe.
 
Kama utaweza kuniamini msichana mwenzio tuwasiliane ili tuweze kufahamiana vizuri,niwe nakutumia mzigo wa madera kutoka Dar unauza huko Tanga..Najua madera yanapendwa sana huko, kuna kipindi nilikuwa nayaleta Muheza yaliuzika sana...0776880270..
inatakiwa mkutane kwanza face to face ajue physical address yako na kuandikishiana legal document just in case.
 
Wakuu nimefikiria sana kuhusu kazi yangu natamani kuiacha sipati jibu kutokana na manyanyaso nayo yapata kutokana na kazi hii ya ulinzi kwanza mshahara mdogo sana naishi kwa kujibana sana ,nimeona kukopa laki tano, naomba ushauri nifanye biashara gani?
 
Back
Top Bottom