Tatzo kuku kweny nyumb ya kupanga ni kutafutiana ugomvi na wapangat
Ha ha haa ni kuwa haiwezekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatzo kuku kweny nyumb ya kupanga ni kutafutiana ugomvi na wapangat
Mbege na kitimoto
Fuga kuku uwe unawaleta dsm wanalipa sana!!
Laki 3 hawezi fuga kuku, labda awe anajumua. Tena kuku wa kienyeji kama wana soko.
Let say kwa huko Tanga kuku awe 6000, atapata kuku 50, bado usafiri na malazi duh!
akija Dar atauza labda elfu 10. Swali atapata soko la jumla? Ni heri kuuza jumla kwa bei ndogo kuliko reja reja.
Kama huko wanaweza nunua madera kwa elfu 15, bora ukajumua madera kwa elfu 9, ukaenda uza huko. Baadae unajenga uteja na mtu mmoja anakuwa anakutumia mzigo tu na wewe unamtumia hela kwa m-pesa. Unaondoa gharama ya usafiri na usumbufu.
Polen na majukumu! ni mschana mwenye umri wa miaka 26..tangia nmalize Chuo 2011 cjabahatika kupata kazi.Nna mtaji Wa laki tatu jamani...nishaurini nifanye biashara gan?mm npo Tanga naona kumedorora kias flan...

Fanya simple market survey ya eneo unaloishi na maeneo ya jirani kwamba ni biashara gani inatoka kirahisi na wengi wanaipenda mfano banda la chipsi au ukawa unachukua kuku wa kienyeji vijijini unaleta Tanga mjini.
Pia unaweza ukawa una supply samaki mikoani kama vile Morogoro au Dodoma kama una network sehemu hizo.
Laki 3 hawezi fuga kuku, labda awe anajumua. Tena kuku wa kienyeji kama wana soko.
Let say kwa huko Tanga kuku awe 6000, atapata kuku 50, bado usafiri na malazi duh!
akija Dar atauza labda elfu 10. Swali atapata soko la jumla? Ni heri kuuza jumla kwa bei ndogo kuliko reja reja.
Kama huko wanaweza nunua madera kwa elfu 15, bora ukajumua madera kwa elfu 9, ukaenda uza huko. Baadae unajenga uteja na mtu mmoja anakuwa anakutumia mzigo tu na wewe unamtumia hela kwa m-pesa. Unaondoa gharama ya usafiri na usumbufu.
business admnistrationPole, kwani ulisoma course gani?
Kama utaweza kuniamini msichana mwenzio tuwasiliane ili tuweze kufahamiana vizuri,niwe nakutumia mzigo wa madera kutoka Dar unauza huko Tanga..Najua madera yanapendwa sana huko, kuna kipindi nilikuwa nayaleta Muheza yaliuzika sana...0776880270..Polen na majukumu! ni mschana mwenye umri wa miaka 26..tangia nmalize Chuo 2011 cjabahatika kupata kazi.Nna mtaji Wa laki tatu jamani...nishaurini nifanye biashara gan?mm npo Tanga naona kumedorora kias flan...
Sawa atafuga kuku ila ikija ile ishu ya experience mika minne katika field husika na utoe contact za huko patachimbika tu bila jembe.
inatakiwa mkutane kwanza face to face ajue physical address yako na kuandikishiana legal document just in case.Kama utaweza kuniamini msichana mwenzio tuwasiliane ili tuweze kufahamiana vizuri,niwe nakutumia mzigo wa madera kutoka Dar unauza huko Tanga..Najua madera yanapendwa sana huko, kuna kipindi nilikuwa nayaleta Muheza yaliuzika sana...0776880270..