Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Natumain mu wazma wakuu,mi ni graduate jaman,nimetuma maombi bila mafanikio.lakin nina mtaj wa 100000,nawaza biashara ipi naweza kufanya iniinue kimaisha.ntashukuru kwa mawazo yenu jamani.
Mimi ni msichana wakuu.
 
Mmmh laki? kweli hyo bado sana,labda uuze mboga mboga
 
Dada laki moja unadhani ni biashara gani mji huu?
 
Kama uko uswazi,
anza na biashara ya mkaa,
kwa mtaji ulionao unaweza nunua gunia mbili...baada ya muda utapata faida na kukuza biashara yako zaidi
 
Tukiunganisha nguvu nadhani tunaweza fanya kitu cha maana. Ila mimi siyo graduate hivyo nahitaji partiner aliyeelimika ili awe ananipa mwanga. What do you say about that?
 
Hongera kwa uthubutu wako ulioonyesha kama kweli una nia utafanikiwa..laki moja nayo ni pesa..thamani ya pesa uliyonayo huwezi kuiona mpaka utakapoikosa ama kuitumia..

Kwanza kabisa elewa kuwa kwa maisha ya sasa laki moja inahitaji budgeting kwa kias chake..ila uweke usistadoo pembeni kwanza ndo utafanikiwa..ushauri wangu ni kama ufuatao;
kulingana na hela uliyonayo unaweza kufanya biashara zifuatazo;

Nunua jiko la mkaa.-10000/-
karai la kuchomea maandazi 5000/-
mafuta ya kupikia lit 3...12000/-
mkaa debe 6000/-
unga kg 2 2500/-
hamira 500/-
baking powder 500/-
kibao cha kusukumia 5000/-
kontena ya kuwekea 3000/-
sukari nusu kg 1000/-
Jumla 45,500/-
hivi ni kwa kuanzia tu kwanza utaongeza kadri siku zinavyokwenda..

unaweza kukaanga maandazi ama half keki nzuri..

SOKO
Sijui unaishi.mazingira gani au maeneo gani huko mtaani kwenu sijui kumekaaje ila ninavyojua dar kuna sehemu nyingi sana za chai kila kona cafe zile..wengi huwa wanapelekewa vitafunio wao wanauza na huwa hawatengenez vyote.nakushauri mdogo wangu ongea na mmojawapo wa mhusika wa hivo vihotel mwambie mpango wako wa kupeleka maandazi ama half cake kila siku asubuh.unaweza kumuuzia 200 yeye akauza 300 ama zaid atajua mwenyewkg 2 ua unga inatoa piece 40/30 kwa size ya kawaida hapo ukimuuzia 200/300 una elfu 8-10 kwa siku.unatengeneza kibubu chako ukifika unaiweka hela yote kwenye kibubu kwakua bado una chombeza mtaji ile hela iliyobaki kama 50500/- utaendelea kununua unga na mafuta na mkaa kama ni kutumia na nauli n.k hii ni kwa vile unaanza lazima ujaribu soko likichanganya unaongeza vipimo.

Sehemu nyingine unayoweza kuuza ni kwenye maduka ya kina mangi utakachofanya utanunua unga, mafuta. sukari n.k hapo dukani kwake then yeye anakuuzia bila kukata hela yeyote..hii ndo huwa hivi..

soko lingine unaweza kutembezea majirani zako asubuh majumbani mwao na wakishazoea utaenjoy maana utatafutwa..cha muhim ni ubora wa bidhaa yako tu.

soko lingine unaweza kuweka kastuli hapo nje ya geti na majirani wakiona watanunua tu..

Zingatia kuwa:, usiangalie ni wangapi wanaofanya biashara kama hii kila mtu na bahat yake na ubora wa bidhaa yako..mfano mimi no mfugaji wa kuku karibu majirani wotee shamban kwangi wanafuga lakini nauza mpaka kuku 300 kwa wiki sasa utaona kwann inakua hivi wakat wote tinafuga kuku walewale?

Ukitaka kufanikiwa usichague kazi fanya kile kilichopo mbele yako mradi kiwe halali..ka ni maandazi nimeuza sana na ninaijua sana hii biashara.maana kama una uwezo wa kupata elf 10/15 kwa siku unataka kaz gani tena ndugu? na wakati wapo wanaooga na kukipaka mafuta asubuhi wanatoka na wanarud jioni mshahara elf 50-80 sasa wewe kwa mwez una lak3-4.5

Nipo na vibaby vinanisumbua hapa kidogo nlitaka nikuandikie na biashara nyinginenyingine ila kwa baadae vumilia ntaitembelea tena thread yako.

Kila la kheri na ulete feedback..usikatishwe tamaa thubutu utafanikiwa.
 
Alieoa mwanamke huyu kwakweli amefanikiwa. Naomba mpe hongera shemeji
 
good! job
naombanitafute mtu ajaribu
ukuitekeleza imeka vizuri sana
 
Tatizo ni kwamba watu ni.mahiri wa kuweka thread ila kuitembelea na kuona yaliyojiri hakuna..na wengine hukaa kimya bila kujua walichukua maamuz gani labda ama watahitaji ushauri wa ziada ama vipi..

,Mnavyoona tunawasidia mawazo humu jamani msidhani ni wote tupo idle mida wote bas tu unaamua kwa moyo wako kumsaidia mtu kimawazo haijalishi utayachukulia positive ama negative..

Basi mtu akiweka thread asiingie mitini jamani anatakiwa kuitembelea...
 
Tukiunganisha nguvu nadhani tunaweza fanya kitu cha maana. Ila mimi siyo graduate hivyo nahitaji partiner aliyeelimika ili awe ananipa mwanga. What do you say about that?

kama ni patner kibiashara nipo tayar,we nielekeze tu vnafanyaje.
 
Hongera kwa uthubutu wako ulioonyesha kama kweli una nia utafanikiwa..laki moja nayo ni pesa..thamani ya pesa uliyonayo huwezi kuiona mpaka utakapoikosa ama kuitumia..

Kwanza kabisa elewa kuwa kwa maisha ya sasa laki moja inahitaji budgeting kwa kias chake..ila uweke usistadoo pembeni kwanza ndo utafanikiwa..ushauri wangu ni kama ufuatao;
kulingana na hela uliyonayo unaweza kufanya biashara zifuatazo;

Nunua jiko la mkaa.-10000/-
karai la kuchomea maandazi 5000/-
mafuta ya kupikia lit 3...12000/-
mkaa debe 6000/-
unga kg 2 2500/-
hamira 500/-
baking powder 500/-
kibao cha kusukumia 5000/-
kontena ya kuwekea 3000/-
sukari nusu kg 1000/-
Jumla 45,500/-
hivi ni kwa kuanzia tu kwanza utaongeza kadri siku zinavyokwenda..

unaweza kukaanga maandazi ama half keki nzuri..

SOKO
Sijui unaishi.mazingira gani au maeneo gani huko mtaani kwenu sijui kumekaaje ila ninavyojua dar kuna sehemu nyingi sana za chai kila kona cafe zile..wengi huwa wanapelekewa vitafunio wao wanauza na huwa hawatengenez vyote.nakushauri mdogo wangu ongea na mmojawapo wa mhusika wa hivo vihotel mwambie mpango wako wa kupeleka maandazi ama half cake kila siku asubuh.unaweza kumuuzia 200 yeye akauza 300 ama zaid atajua mwenyewkg 2 ua unga inatoa piece 40/30 kwa size ya kawaida hapo ukimuuzia 200/300 una elfu 8-10 kwa siku.unatengeneza kibubu chako ukifika unaiweka hela yote kwenye kibubu kwakua bado una chombeza mtaji ile hela iliyobaki kama 50500/- utaendelea kununua unga na mafuta na mkaa kama ni kutumia na nauli n.k hii ni kwa vile unaanza lazima ujaribu soko likichanganya unaongeza vipimo.

Sehemu nyingine unayoweza kuuza ni kwenye maduka ya kina mangi utakachofanya utanunua unga, mafuta. sukari n.k hapo dukani kwake then yeye anakuuzia bila kukata hela yeyote..hii ndo huwa hivi..

soko lingine unaweza kutembezea majirani zako asubuh majumbani mwao na wakishazoea utaenjoy maana utatafutwa..cha muhim ni ubora wa bidhaa yako tu.

soko lingine unaweza kuweka kastuli hapo nje ya geti na majirani wakiona watanunua tu..

Zingatia kuwa:, usiangalie ni wangapi wanaofanya biashara kama hii kila mtu na bahat yake na ubora wa bidhaa yako..mfano mimi no mfugaji wa kuku karibu majirani wotee shamban kwangi wanafuga lakini nauza mpaka kuku 300 kwa wiki sasa utaona kwann inakua hivi wakat wote tinafuga kuku walewale?

Ukitaka kufanikiwa usichague kazi fanya kile kilichopo mbele yako mradi kiwe halali..ka ni maandazi nimeuza sana na ninaijua sana hii biashara.maana kama una uwezo wa kupata elf 10/15 kwa siku unataka kaz gani tena ndugu? na wakati wapo wanaooga na kukipaka mafuta asubuhi wanatoka na wanarud jioni mshahara elf 50-80 sasa wewe kwa mwez una lak3-4.5

Nipo na vibaby vinanisumbua hapa kidogo nlitaka nikuandikie na biashara nyinginenyingine ila kwa baadae vumilia ntaitembelea tena thread yako.

Kila la kheri na ulete feedback..usikatishwe tamaa thubutu utafanikiwa.

wewe ni super woman, hongera ,watu wanamkatisha tamaa kwa mtaji wa laki, hawajaona uswaz watu wanauza kalanga za mtaji wa elfu 10 sembuse laki, wengine wanaish kwa kuuza ugolo na sigara,
 
,natumain mu wazma wakuu,mi ni graduate jaman,nimetuma maombi bila mafanikio.lakin nina mtaj wa 100000,nawaza biashara ipi naweza kufanya iniinue kimaisha.ntashukuru kwa mawazo yenu jamani.
Mimi ni msichana wakuu.

Kama uko dar amka asubuhi na mapema nenda ilala boma soko la mitumba chagua nguo nzuri za wakubwa na watoto then wauzie watu unao wafahamu wanaofanya kazi mfano ulosoma nao.hawa ni wateja wazuri hawana muda wa kuzunguka na malipo ni uhakika.unaweza kuwapelekea ofisini.biashara hii itakutoa bila jasho na ina lipa sana.
 
kama uko dar amka asubuhi na mapema nenda ilala boma soko la mitumba chagua nguo nzuri za wakubwa na watoto then wauzie watu unao wafahamu wanaofanya kazi mfano ulosoma nao.hawa ni wateja wazuri hawana muda wa kuzunguka na malipo ni uhakika.unaweza kuwapelekea ofisini.biashara hii itakutoa bila jasho na ina lipa sana.

Kweli mkuu
 
Back
Top Bottom