Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

jamani kwa washing mashine sampuli hii itanifaa kwa kazi kweli?
Ina KG 8 ni manual
nimeikuta dukani inauzwa ila sina elimu ya kujua uwezo wake kikazi
ZEC_ZWM_1000TP.jpg
 
kama vp tuwasiliane mie niko dar agiza dagaa mie niuze nitaongezea hapo mtaji sawa na wako kinachopatikana tunagawana sawasawa
 
bado najaribu kutafuta market kuhusu iyo kitu
Aisee unaweza kusupply samaki sato fresh mikoani... Mimi nahitaji mtu wa kuniletea hiyo makitu kila wiki, kwa kuanzia laki moja itatosha. Hutahitaji kusafiri..mzigo utaupost kwenye basi, nakulipa kwa simu-pesa. Unalipwa ukimkabidhi mzigo konda... Haina longolongo.
 
hata mi nataka nijue maana kashauriwa kuzileta Dar
labda apeleke SUDAN

Dar labda aongee na watengezaji wa chakula cha mifugo. btw mapanki wanakula wenye hali ya chini, kuna jamaa yangu alikuwa anapeleka singida anabadlishana na mazao alikuwa anauza sana. kawaida wanachofanya kiwandani wanachuna ngozi na kuondoa mnofu wa juu tu usio na mifupa.

Kuna minofu huwa inabaki ukiangalia kwenye picha niliyoweka hapo juu utaona kuna minofu ya kutosha tu, hayo yanakaangwa ndiyo yanaenda kuuzwa watu wenye kipato cha chini wanakula.

Badala ya hiyo mi ningemshauri kama anataka biahsara ya samaki alete dagaa au fillet za samaki apeleke mahotelini.
 
oh! Ahsante
sasa ikitolewa minofu
zitanunuliwa kwa matumizi gani mengine wakati inabaki mifupa?

kwa ajiri ya kula, kuna mabaki ya minofu na wanao kula ni wale wa hali ya chini
 
1. Chuuza samaki kuleta mikoani
2. Mafuta ya kupikia - alizeti peleka Dar
3. Nunua mazao - hifadhi hadi bei ipande ndio uuze

Yoyote kati ya hizo au zote utatoka

Biashara za procuce ambazo huharibika baada ya muda ni risk. Unaweza kushtukia mtaji umepukutika. Sikukatishi tamaa, ila hakikisha umeandaa soko usije haribikiwa na bidhaa zako kabla hazijapata mteja.
 
Aisee unaweza kusupply samaki sato fresh mikoani... Mimi nahitaji mtu wa kuniletea hiyo makitu kila wiki, kwa kuanzia laki moja itatosha. Hutahitaji kusafiri..mzigo utaupost kwenye basi, nakulipa kwa simu-pesa. Unalipwa ukimkabidhi mzigo konda... Haina longolongo.

unapatikana wapi mkuu?
 
la maana ilo mkuu ndo maana natafuta soko la uhakika
 
unapatikana wapi mkuu?

quote_icon.png
By isotope

Aisee unaweza kusupply samaki sato fresh mikoani... Mimi nahitaji mtu wa kuniletea hiyo makitu kila wiki, kwa kuanzia laki moja itatosha. Hutahitaji kusafiri..mzigo utaupost kwenye basi, nakulipa kwa simu-pesa. Unalipwa ukimkabidhi mzigo konda... Haina longolongo.

Huo ndipo mpango mzima wa mtiririko wa biashara bila khofu, lakini usidanganyike na ya kutembeza mitaaani utapukutisha mtaji. Mtafute huyo ndio biashara, ila jambo la kwanza nenda kaonane naye mfanye mipango kamili. Usije ukatuma mzigo halafu pesa haiingiii kwenye account yako.
 
asante ushauri mzurii huu
 
Nunua samaki peleka mahoteli makubwa, nenda mwenyewe kwa wavuvi...

Nunua dagaa peleka minadani, nunua kwa wavuvi moja kwa moja...

Au nunua dagaa peleka Dar...

hilo suala la samaki awe makini kweli sis,

siku moja niliamua kwenda Igombe kufanya utafiti juu ya uuzwaji wa samaki, kukweli watu wa pale wengi si wakweli, wengi wanaongea mambo ambayo ukiyasikiliza ni kama wanalinda soko lao binafsi...

Biashara ya samaki ni nzuri, ila kama kawaida ya biashara, lazima apambane na risks mbali mbali.
 
kweli yahitaji umakini wa hali ya juu
 
njoo gold crest jumapili kuanzia SAA 9 kuna semina ya kibiashara unaweza pata elimu itakayokusaidia. nicheki kwa hiz namba kwa maelezo zaidi 0759797874
 
Laki 8 ni nyingi sana kama unajicho pevu la tatu la kuziona fursa,binafsi nishaanzaga na mtaji wa Tsh40000(elfu arubain tu) right now nina ROI ya 7m kama faida every two weeks ni ngumu kuamini but thats it..anyway nisikuchosheTafuta washing machine with dry cleaning system, used atleast ichukue kwa 400000Huna haja ya kununu liquid soap you can make it by your own at your home.Huna haja ya kukodi frem..tafuts eneo lavwazo hapo nyumbani kwako au chumba cha waziTafuta hosteli na vyuo vyenye mkusanyiko wa watu wengi maeneo ya karibu yako..bandika ads kwamba unafua na kupasi nguo za wanafunzi na watu wengine kwa bei nafuu na ofa maalumu plus nguo za aina yoyote..lets say unafua na kupasi T-shirt na jeans kwa 2500 each@1250 plus ofa ya kufua boxer na vest/sidiria na chupi bure kwa mhusika mmoja..400000 ivunje kama ifuatavyo:toa 50000 nunua baiskelitoa 100000 ingia mkataba wa miezi mitano kwanza na kijana mdogo kutoka uswekeni ambaye hana ajira wa kumlipa 20000 kila mwezi plus allowance ya 500 kwa kila complete order anayoileta(ya 2500)..mpe baiskel kwaajili ya kuchukua na kurudisha order za watu.huyu kijana usisahau kumpa motisha za malazi chakula na matibabu.Imebaki 250000:Ivunje kama ifuatavyoToa 50000 nunua pasi na perfumes mbili moja ya kike na moja ya kiume(perfume ni mbwembwe tu kwa wateja wako)Toa 30000 nunua enga za bei rahisi au tafuta muuza mitumba akuelekeze material ya kununua kwa ajili kutengeneza enga za gharama nafuu..hizi enga zitumike kutudukia na kudeliver nguo za watu..ila zisibaki kwa wateja.Toa 30000 tengeneza kijikabti au sanduku nyuma ya ile baiskeli kwaajili ya kucollect na kudeliver order za watu.Imebaki 140000 toa 50000 ingia mkataba na muuza maji wa karibu yako kuchukua dumu tatu kwa hesabu ya 750 kila siku za kazi kwa muda wa miez miwili..NB:Kama una'access na maji ya bure hii ni salama yakoImebaki 90000 toa 40000 kwaajili ya kununua liquid soap materials pamoja na jiki material ya kutengeneza jiki nyumbani..Imebaki 50000 toa 35000 iweke iwe pesa ya kulipia gharama za umeme kwa kipindi cha atleast mwezi mmoja na nusu..na 15000 kwaajili ya yale mabandiko ya printed white paper kama matangazo NB:inabidi wewe na yule kijana muwe nembo muhimu ya kuitangaza biashara yenu msitegemee mabandiko tu.Kilichobaki ni kuanza kazi na kusubiri mvua ya wateja itakayo kuwa ikimiminika hapo ulipo..Zingatia huduma nzuri kwa wateja wako.Na pia zingatia ulichowekeza na utakachokuwa ukikipata kama faida...pia zingatia ghatama nafuu kwakila huduma ya kuzisafisha nguo za wateja wao..lengo ni kuwa'outstand major dry cleaning franchises na kuprovide huduma kama yao ila kwa bei nafuu..Zaidi ya hapo SEE YOU AT THE TOP..WISHING YOU ALL THE BEST 😉
Nimepata kitu kikubwa sana hapa aisee.
 
Back
Top Bottom