Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Choma mahindi kwa barabara hundi moha unanunua 120 unakuja uza 500 mpaka 700 faida ni kubwa kwa siku unaweza pata hadi 30000 faida.Hii kama upo Dar.Fanya utanipa majibu.
 
Choma mahindi kwa barabara hundi moha unanunua 120 unakuja uza 500 mpaka 700 faida ni kubwa kwa siku unaweza pata hadi 30000 faida.Hii kama upo Dar.Fanya utanipa majibu.

amekwambia yupo Songea
 
Biashara yoyote au ujasiriamali wowote ni LAZIMA, narudia ni LAZIMA liwe WAZO lako mwenyewe, yaani lianze na wewe mwenyewe, kiwe kitu unachokipenda na unaweza kukitekeleza mwenyewe. Hivyo wewe una WAZO GANI? Hiyo moja, pili, hebu angalia jamii yako inayokuzunguka, majirani ambao ndio SOKO LAKO la awali, wanataka nini?

Wanataka nini, wana kitu wanachokosa au wasichokipata kikamilifu yaani labda kuna mtu anatoa hiyo huduma kwa kubabaisha tu, basi wewe capitalise on that weakness na anzia hapo. Ila WAZO lazima liwe lako mwenyewe, lilete hmu JF tu;iboreshe. All the best fungi.
 
Kaka nenda kijiji kimoja kinaitwa mdwema nunua kuku wa kienyeji peleka pale heritage cottage utatoka ss hv usipuuze!!
 
Nilikua nina Tsh 1.5 na nilitegemea kupata m 1.5 ingine lakini imeshindikana mpaka baada ya zaidi ya mwezi .Frame nimeilipia nzuri uswahilini ,sasa nina tsh 600,000 je naweza kuuza nini hapo kwa muda huu wakati nasubiri pesa nyingine?

Mimi nilikua nafikiria kwanza nguo za watoto kidogo za kuanzia na kanga ,hapa sijielewi naona mtaji mdogo sana
.Frame nimelipia majuzi tu ,au kitu gani naweza kuuza kwa kuanzia?
 
[h=2][/h]
Nilikua nina Tsh 1.5 na nilitegemea kupata m 1.5 ingine lakini imeshindikana mpaka baada ya zaidi ya mwezi .Frame nimeilipia nzuri uswahilini ,sasa nina tsh 600,000 je naweza kuuza nini hapo kwa muda huu wakati nasubiri pesa nyingine?mimi nilikua nafikiria kwanza nguo za watoto kidogo za kuanzia na kanga ,hapa sijielewi naona mtaji mdogo sana
.Frame nimelipia majuzi tu ,au kitu gani naweza kuuza kwa kuanzia?​
 
mkuu ndo ule mshahara wa kule kazini?!....ok!
Mi naona ufungue duka vipodozi, nguo, mikufu pamoja na viatu!
 
Mkuu huu mwezi huwa watu hasa wanawake wananunua nguo sana kwa ajili ya siku kuu

Hiyo Idea ya nguo za watoto sio mbaya ongeza tu na vitenge,kanga na Madela.

Muhimu:Laki sita sio mtaji mdogo kivile so in order to maintain hiyo balance endelea na ivyo vibiashara huku unapata uzoefu na uwezo wa kuona fursa nyingine.Huo ndo ushauri wangu Mkuu.Kila la kheri
 
Usisahau kuweka vocha kuwavuta wateja hapo dukani kwako
 
Mwezi wa biashara ya chakula fungua genge la kisasa weka mihogo, tambi, mchele, viazi, mafuta ya kupikia, tende, matunda kwa ujumla biashara ya chakula inalipa
 
Mwezi wa biashara ya chakula fungua genge la kisasa weka mihogo, tambi, mchele, viazi, mafuta ya kupikia, tende, matunda kwa ujumla biashara ya chakula inalipa
Asante kwa ushauri wako mkuu
 
Mkuu huu mwezi huwa watu hasa wanawake wananunua nguo sana kwa ajili ya siku kuu

Hiyo Idea ya nguo za watoto sio mbaya ongeza tu na vitenge,kanga na Madela.

Muhimu:Laki sita sio mtaji mdogo kivile so in order to maintain hiyo balance endelea na ivyo vibiashara huku unapata uzoefu na uwezo wa kuona fursa nyingine.Huo ndo ushauri wangu Mkuu.Kila la kheri
Asante mkuuu
 
Mwezi wa biashara ya chakula fungua genge la kisasa weka mihogo, tambi, mchele, viazi, mafuta ya kupikia, tende, matunda kwa ujumla biashara ya chakula inalipa

Baadhi ya bidhaa adhimu kwa ajili ya mfungo hasa paste, mafuta ya kupikia, sukari, juice, vipo sehemu kwa bei chee sana uki opt aina hiyo ya biashara ni text nikupeleke. Nguo ni sahihi ila naona kama utasubiria wateja muda mrefu.
 
Lakini mfungo mwezi mmoja tu,vipi progress ya mbele ?nataka nifanye kitu cha kuendelea mkuu ila nashukuru kwa ushauri
 
Almost wote wapo sahihi sasa kilichobaki ni kuangalia kama fursa hizo je zipo katika mazingira yako na je ni profitable kwa kiasi gani maana yake fanya feasibility study kwanza.Nakutakia tafakari njema
 
Back
Top Bottom