Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Choma mahindi kwa barabara hundi moha unanunua 120 unakuja uza 500 mpaka 700 faida ni kubwa kwa siku unaweza pata hadi 30000 faida.Hii kama upo Dar.Fanya utanipa majibu.
Asante kwa ushauri wako mkuuMwezi wa biashara ya chakula fungua genge la kisasa weka mihogo, tambi, mchele, viazi, mafuta ya kupikia, tende, matunda kwa ujumla biashara ya chakula inalipa
Asante kwa ushauri wako mkuuUsisahau kuweka vocha kuwavuta wateja hapo dukani kwako
Hausahau mkuu?mkuu ndo ule mshahara wa kule kazini?!....ok!
Mi naona ufungue duka vipodozi, nguo, mikufu pamoja na viatu!
Asante mkuuuMkuu huu mwezi huwa watu hasa wanawake wananunua nguo sana kwa ajili ya siku kuu
Hiyo Idea ya nguo za watoto sio mbaya ongeza tu na vitenge,kanga na Madela.
Muhimu:Laki sita sio mtaji mdogo kivile so in order to maintain hiyo balance endelea na ivyo vibiashara huku unapata uzoefu na uwezo wa kuona fursa nyingine.Huo ndo ushauri wangu Mkuu.Kila la kheri
Mwezi wa biashara ya chakula fungua genge la kisasa weka mihogo, tambi, mchele, viazi, mafuta ya kupikia, tende, matunda kwa ujumla biashara ya chakula inalipa
Lakini mfungo mwezi mmoja tu,vipi progress ya mbele ?nataka nifanye kitu cha kuendelea mkuu ila nashukuru kwa ushauriBaadhi ya bidhaa adhimu kwa ajili ya mfungo hasa paste, mafuta ya kupikia, sukari, juice, vipo sehemu kwa bei chee sana uki opt aina hiyo ya biashara ni text nikupeleke. Nguo ni sahihi ila naona kama utasubiria wateja muda mrefu.